Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Over my dead body...how can i be married to killers and bandits?
Haha then sahau kitu kinaitwa mafanikio kwenye maisha yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Over my dead body...how can i be married to killers and bandits?
So??????.......
Give me a tenth chance...
Na ole wenu mfanye replacement....maana mmeshaambiwa hapa tusio wachaga hatuna dili
Haha then sahau kitu kinaitwa mafanikio kwenye maisha yako
my GODness unanijua mie ni nani...? Au mafanikio gani unayaongelea?
Tobaaa...isijekuwa naongea na Bakhresa....Kama umefanikiwa una geloflendi au mke mchaga lol
my GODness unanijua mie ni nani...? Au mafanikio gani unayaongelea?
Acha kuzingua watu wewe - eti unajua Mie Ni nani? Ili iweje? Kamwambie maneno hayo mke wako...ebooo ! We vipi.....humu Ni full kujiachia hata Ungekuwa unaishi magogoni--- sasa kasage chupa ujimalize....kabisaaa ...!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahah Eli79 unashangaa nini? Mtu anasema mwanamke mmoja wa kichaga ni sawa na wanawake 10 wa kisambaa WENYE AKILI TIMAMU! Na ndivyo wanavyowaza vichwani mwao.... Nimeshaona ndoa nyingi za kutosha za watu wa makabila mengine wanaoolewa na wachaga jinsi wanavyonyanyapaliwa.... Haiwezi kutokea hata kwa bahati mbaya kwa kweli
Haha then sahau kitu kinaitwa mafanikio kwenye maisha yako
Hivi kwani degree ni kitu cha ajabu sana??? Eti la saba ni sawa na mwenye degree?? Unaweza tofautisha mtu mwenye degree na asiye na degree kwa kumuangalia?? Tu?? Duuhh kuna watu watasubiri sana...yan...!!
Ahsante kwa kukiri kuwa kwenye wizi wamo. Mie kuna mtu alikatazwa kuoa mchaga lakini hakusikia. Matokeo yake kilichomkuta hatakaa asahau.
Kwa muktadha huu ina maana kwa binti aliyesoma hadi kidato cha nne ni Profesa kabisa...sikiliza ndugu
Kwa wakati na zama tunazoishi sasa ni mtu mwenye ram ndogo kichwani tu anayeweza kuishi kutegemea historia...
Utakubaliana nami kwamba mafanikio na kutokufanikiwa kwa mtu ni kutokana na kutokuwa na vipaumbele kwenye mambo yake ya kila siku na ikiwa ana mipangilio basi ni ile ya bora siku ziende...
Tasnifu yako imekaa kiujumla sana na sampuli ulizotumia nadhani ni mbili kutoa mawazo yako haya...
Ni vyema wakati mtu anatafuta mwenza akawa na sababu za ni mwenza wa aina gani anataka...unaweza kumlaumu mwenzio kwamba amekosa maendeleo kwa kuwa kaoa mwanamke mpenda disco,usichokijua ni kwamba lengo la huyu bwana ilikuwa kuishi na dancer! Oa hata benki kama inaoleka,ila kama huna discipline ya maisho uone utaishia vipi...