Mr. Wise
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 7,733
- 6,469
Kimaisha! wakuu niwaambie wanawake wakichagga ni quite different from others. Ukioa mwanamke wa kichagga darasa la saba hana tofauti na mwanamke mwenye digrii from another tribe.
Nayasema haya baada yakuona mengi sana, katika haya maisha. Lots of chagga guys waliokuwa na maisha mazuri, then wakaoa wadada tofauti na kabila lao, wameenda chini kimaendeleo.
Itokee bahati mbaya jamaa atwaliwe, ndiyo kila kitu kinakufa chunguza utaona hata wewe. Kwa wale waliowapata wakichagga at least wanamaintain na mafanikio kwenda juu.
Hata wanaume wakutoka maeneo mengine, akibahatika kuoa mchagga ni kwamba kwa kiasi kikubwa maisha wanayamaintain, na hutasikia things goes down hata jamaa akiondoka duniani.
Najua hapa kuna watu wa aina mbalimbali na inawapasa mkubaliane na hali, wanawake wakichagga wako tofauti kabisa kabisamna wanawake wa makabila mengine in real sense of success.
Mkuu kuna sababu nyingine moja ambayo ni hii huwa hawaolewi na mtu asiyekua nacho aisee, ni wachache sana wanaoanza na mtu ktk kusota, wanaijua ela so sio ukiona kila aliyeoa mchaga ana mafanikio ndio ujue tu sabab mwanamke jaribu fatilia, kwengine utakuta mwanaume alikua anajiweza tokea kabla hajaoa so Mchaga alivutika na mshiko wa mume.
Note : Hapo juu Sina nia ya kuwasema vibaya mabinti wa kichaga