Mwanamke Mgumba anayejielewa anahitajika awe na sifa hizi

Hee kumbe wapo watu ambao hawataki mahusiano serious so wanataka kuchezewa na kuachwa au nimeelewa vibaya..?
Hata mimi simuelewagi kabisa, unakuta anaishi na mwanaume akitaka tu kumuoa atatafuta sababu wagombane waachane
 
Angetafuta tu single mother maisha yangekua fresh tu ambaye baba mtu kadanja Kwa uhakika zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…