Sio Mimi mkuuPunguza ulevi ndugu
chunga jamii yako eeh,
Watateseka Bure kwa ajili yako!
Somesha shule, apate elimu eeh,
Atafaidika kwa Maisha yake eh,
Vumilia ndugu, maisha magumu eeh
Dunia ni hivyo, ndivyo hivyo ilivyo!
In samba mapangala voice
Kuna watu wanakula tungi daily na wana maisha mazuri kuliko wale wasiokula tungi.Punguza ulevi ndugu
chunga jamii yako eeh,
Watateseka Bure kwa ajili yako!
Somesha shule, apate elimu eeh,
Atafaidika kwa Maisha yake eh,
Vumilia ndugu, maisha magumu eeh
Dunia ni hivyo, ndivyo hivyo ilivyo!
In samba mapangala voice
Nakuelewa boss wangu!Kuna watu wanakula tungi daily na wana maisha mazuri kuliko wale wasiokula tungi.
Pombe pekee haimfanyi mtu kuwa tajiri au masikini
Unaitwa Chale X Nyeto au nimevua mawani sioni?Ndege wafananao huruka pamoja.
Huyo jamaa anaaitwa nani nimtafute hapa MALUMBA STOP POINT au MUEMBENI BAR?Wasalaam.
Kuna ndugu yangu ambaye yeye ni mzee wa pombe! Kila ijumaa jioni na jmosi siku ambazo haendi kazini ni mzee wa kulala bar.
Kwa ulevi wake huu anahitaji mwanamke anayependa urabu Ili kila ijumaa na jmosi wawe wanakokotana huko bar.
Mahari alipo ni Kakola Shinyanya.
Karibuni walevi muendelezee ulevi wenu.
Chala X NyatoUnaitwa Chale X Nyeto au nimevua mawani sioni?
Nikawa nimeona Chale X NyetoChala X Nyato
Hamna hajaandika hivyo mkuuNikawa nimeona Chale X Nyeto
AnakusheinyentaHamna hajaandika hivyo mkuu
Cc: Wakishua OGMwambie awe makini hapo kakola Kuna ukimwi mkali Sana.
beside next week naweza fika hapo, maana tuna aset fulani.
hivyo naweza mnunulia supu ya kongoro.