Mwanamke mlevi anahitajika

Mwanamke mlevi anahitajika

gwego1

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2023
Posts
265
Reaction score
897
Wasalaam.
Kuna ndugu yangu ambaye yeye ni mzee wa pombe! Kila ijumaa jioni na jmosi siku ambazo haendi kazini ni mzee wa kulala bar.

Kwa ulevi wake huu anahitaji mwanamke anayependa urabu Ili kila ijumaa na jmosi wawe wanakokotana huko bar.

Mahari alipo ni Kakola Shinyanya.

Karibuni walevi muendelezee ulevi wenu.
 
Punguza ulevi ndugu

chunga jamii yako eeh,

Watateseka Bure kwa ajili yako!

Somesha shule, apate elimu eeh,

Atafaidika kwa Maisha yake eh,

Vumilia ndugu, maisha magumu eeh

Dunia ni hivyo, ndivyo hivyo ilivyo!

In samba mapangala voice
Sio Mimi mkuu
 
Punguza ulevi ndugu

chunga jamii yako eeh,

Watateseka Bure kwa ajili yako!

Somesha shule, apate elimu eeh,

Atafaidika kwa Maisha yake eh,

Vumilia ndugu, maisha magumu eeh

Dunia ni hivyo, ndivyo hivyo ilivyo!

In samba mapangala voice
Kuna watu wanakula tungi daily na wana maisha mazuri kuliko wale wasiokula tungi.
Pombe pekee haimfanyi mtu kuwa tajiri au masikini
 
Kuna watu wanakula tungi daily na wana maisha mazuri kuliko wale wasiokula tungi.
Pombe pekee haimfanyi mtu kuwa tajiri au masikini
Nakuelewa boss wangu!

Ni namna ya kupangilia uchumi wako na mambo mengine

Mimi nikizipata pia huwa siachi moja mbili 🍺👊

Hiyo nyimbo nnaikubali tu
 
Wasalaam.
Kuna ndugu yangu ambaye yeye ni mzee wa pombe! Kila ijumaa jioni na jmosi siku ambazo haendi kazini ni mzee wa kulala bar.

Kwa ulevi wake huu anahitaji mwanamke anayependa urabu Ili kila ijumaa na jmosi wawe wanakokotana huko bar.

Mahari alipo ni Kakola Shinyanya.

Karibuni walevi muendelezee ulevi wenu.
Huyo jamaa anaaitwa nani nimtafute hapa MALUMBA STOP POINT au MUEMBENI BAR?
 
Mwambie awe makini hapo kakola Kuna ukimwi mkali Sana.

beside next week naweza fika hapo, maana tuna aset fulani.
hivyo naweza mnunulia supu ya kongoro.
 
Back
Top Bottom