Mwanamke mnayefanya kazi ofisi moja anakutangazia mabaya kwa wenzake usipomtongoza

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Huyu mwanamke tulimuheshimu sana hapa ofisini (alikuwa secretary wetu) yaani lunch na break fast tunamtoa karibuni kila siku sisi wanaume tofauti tofauti na hakuna alie mtongoza maana yeye kwanza ni mke wa mtu tunamheshimu na sisi bado ma single .

Sasa yeye kahamishwa kitengo kapelekwa ofisi nyingine sehemu nyingine huko ila ofisi ni moja kwa kweli hicho tulichosikia kwa wenzetu anatangaza huko kinatuuma sana yaani ametudharau sana hadi najilaumu kwa nini nimemuacha.

Nyie wanawake mnaofanya ofisi moja wa wanaume ukiheshimiwa hapo ofisini jiheshimu sio kwamba tunashindwa kuwaburuza.
 
Wanawake bwana, ukimtongoza akakukatalia anaanza kukutangaza unabaki na aibu lakini pia usipomtongoza na pia anakutangaza pale nimeonyesha kila dalili hamna mwanaume pale.

Hawa viumbe wanajijua wenyewe
 
Mi binafsi niko na mademu kibao wakali ila sijakuja kumtongoza hata mmoja mwaka sasa tunatazaman bora wanidharau kuliko kuliko nyodo wanajiona mi mgumu mademu zangu kitaa
 
Kuna wake za watu wawili tuliokuwa tukiishi kwenye nyumba moja, apartments. Nililetewa chakula na maji,nilipata attention zote toka kwao. Niliwaheshimu Kama mashemeji. Baadae nikaleta mtu ndani.

Tokea hapo nasikia shudu tu wananisema kwenye vijiwe vyao.
 
Huyu mwanamke tulimuheshimu sana hapa ofisini (alikuwa secretary wetu) yaani lunch na break fast tunamtoa karibuni kila siku sisi wanaume tofauti tofauti na hakuna alie mtongoza maana yeye kwanza ni mke wa mtu tunamheshimu na sisi bado ma single .

Sasa yeye kahamishwa kitengo kapelekwa ofisi nyingine sehemu nyingine huko ila ofisi ni moja kwa kweli hicho tulichosikia kwa wenzetu anatangaza huko kinatuuma sana yaani ametudharau sana hadi najilaumu kwa nini nimemuacha.

Nyie wanawake mnaofanya ofisi moja wa wanaume ukiheshimiwa hapo ofisini jiheshimu sio kwamba tunashindwa kuwaburuza.
Mwanaume halaumiwi wala kujilaumu kwa kuacha kula kiumbe mwanamke.. unatakiwa ujisifie
 
Wanawake bwana, ukimtongoza akakukatalia anaanza kukutangaza unabaki na aibu lakini pia usipomtongoza na pia anakutangaza pale nimeonyesha kila dalili hamna mwanaume pale.

Hawa viumbe wanajijua wenyewe
Tumejipanga hapa ofisi lazma wote tupige ili kumkomoa
 
Back
Top Bottom