Mfano sisi tunaofanya kazi serikalini tulisomea utumishi mapenzi hayaruhusiwi na ulevi eneo la kaza mkikutwa ni hatar na unajua penzi likichanganya mnaweza jiachia mi binafsi kwa muundo wa ofisi zetu nahisi kuna hata cctv camera kuna supervision ya hatari hao ma HR mara principalYaa ni kweli kabisa