Mwanamke mnayefanya kazi ofisi moja anakutangazia mabaya kwa wenzake usipomtongoza

Yaa ni kweli kabisa
Mfano sisi tunaofanya kazi serikalini tulisomea utumishi mapenzi hayaruhusiwi na ulevi eneo la kaza mkikutwa ni hatar na unajua penzi likichanganya mnaweza jiachia mi binafsi kwa muundo wa ofisi zetu nahisi kuna hata cctv camera kuna supervision ya hatari hao ma HR mara principal
 
Hayo hata mimi yameni kuta wiki hii hii tu j.4

MTU MWENYEWE NI JIMAMA NAMIMI BADO SERENGETI BOYS'.


mpaka kaninunia, naweza mbona kanizidi miaka karibu.10 LEO KWELI NIMMIMINIE MBEGU mdomoni kweli?
ILI KUZIBA DOMO LAKE.....???

wanawake wa hivi basi tu

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Hayo maneno anatomwaga huko kila tukifikiria hatupati jibu.
Pole sana ndugu
 
Sio kwenu tuu ofisi yoyote ya serikal haitakiwi hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…