Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Mm sio mnene am thick ila nataka ounguza kilo 5_8 tu
Kwa uzoefu wangu ndani ya mwezi unaweza punguza hadi kilo moja, so itakuchukua miezi mitano-nane. Chamsingi ni mazoezi na kupunguza vyakula vya wanga
 
kuna wanawake wanene kuanzia tumboni mpaka kifuani ukitaka kumkumbatia mpaka uzunguke mwili mzima ili upate pa kushika umbo la mviringo kama pipa.
[emoji2][emoji2][emoji2]

Sent from my vivo X21 using Tapatalk
 
Unene sio shida sana kama mwili umekaa vizuri. Ila mwanamke mwenye kitambi kwangu ni bure kabisa, unakuta mwanamke ana kitambi kama anakulaga watoto wa watu.
Wanawake wenye vitambi vipunguzeni, ni kwa afya ya mahusiano yenu.
Sasa huyo ni mkeo utamtupa? Umeoa ni miss kakuzalia watoto 4 na kitambi juu sasa utamtupia nani hilo zigo,
wee pambana na hali yako tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi ndio c waz nimempenda yeye malkia wa moyo wangu,mengine n upuuzi.
 
Nikiona mtu ana demu mwembamba huwa najisemea kuwa huyu dada atakuwa ana akili sana ndio maana kamteka huyu mwamba. U know y, gentlemen eats fresh meat not bones.
 
mimi ndio c waz nimempenda yeye malkia wa moyo wangu,mengine n upuuzi.
 
Back
Top Bottom