Kila mtu ana kitu anachikipenda.
Kama wewe hupendi wanene wapo wanaopenda.
Mimi sipendi mwanamke mwembamba hata kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uzoefu wangu ndani ya mwezi unaweza punguza hadi kilo moja, so itakuchukua miezi mitano-nane. Chamsingi ni mazoezi na kupunguza vyakula vya wangaMm sio mnene am thick ila nataka ounguza kilo 5_8 tu
Ndio nachojitahidi kufanyaKwa uzoefu wangu ndani ya mwezi unaweza punguza hadi kilo moja, so itakuchukua miezi mitano-nane. Chamsingi ni mazoezi na kupunguza vyakula vya wanga
[emoji2][emoji2][emoji2]kuna wanawake wanene kuanzia tumboni mpaka kifuani ukitaka kumkumbatia mpaka uzunguke mwili mzima ili upate pa kushika umbo la mviringo kama pipa.
Jamani....Umbo Kama pipa..this is too much [emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuna wanawake wanene kuanzia tumboni mpaka kifuani ukitaka kumkumbatia mpaka uzunguke mwili mzima ili upate pa kushika umbo la mviringo kama pipa.
kuna wanawake wanene kuanzia tumboni mpaka kifuani ukitaka kumkumbatia mpaka uzunguke mwili mzima ili upate pa kushika umbo la mviringo kama pipa.
Sasa huyo ni mkeo utamtupa? Umeoa ni miss kakuzalia watoto 4 na kitambi juu sasa utamtupia nani hilo zigo,Unene sio shida sana kama mwili umekaa vizuri. Ila mwanamke mwenye kitambi kwangu ni bure kabisa, unakuta mwanamke ana kitambi kama anakulaga watoto wa watu.
Wanawake wenye vitambi vipunguzeni, ni kwa afya ya mahusiano yenu.
Weee tumbo utazani kaweka kindoo cha lita 10? Hapo kuna shughuli kweli?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Rushwa + Bia
Ila kitambi kwa mwanaume sio ishu sana japo mimi binafsi sikipendi.
Wengi wao bia za ofa unakuta kitambi kipo hovyo hovyo tu kingine chini kabisaWanakula Bia..eti...huyu anadhambi kwaiyo.mimi hapa nimekula watoto wa watu...jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Unene wa nn haswa?MZUNGU AKISHASEMA MZURI NI MWEMBAMBA FULL STOP HUO NDIO UKWELI MIMI NI NANI NIBISHE BISHE
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupokee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1] Depal kumbuka panya principle, "uma-puliza"
Kila la heri mkuu.Ndio nachojitahidi kufanya
Siweki tena dada maana nkiweka tangazo anasbo ananinanga ananiambia sijaolewa sababu sina chura huwa namsomaga halafu najikutaaa nacheka sana nasema ungejuwa.😜