Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Mwembamba na awe mweusi, manake weupe sana hamna kitu hata kama ni mwembamba
 
Hakuna mtu asiyekuwa na hasira mkuu na kama yumo ni abnormal. hasira ni human attribute
 
Uzuri uko machoni mwa muhusika bana. Mnene au mwembamba au aliyenenepeana wana sehem yao katika mapendo
Imagine umemuoa mkeo mwembamba akaja kununepa akiwa kwao ndo utamkataa kwa kuwa kanenepa
 
Nimeangalia picha uliyoweka nimegundua ni same person; either amenenepa au ameamua ku slim.

Labda kama wametengeneza kwa photo shop... Huyo dada mwembaba... I LOVE her... she is one of the most sexy ladies ile mbaya... Ni actress anaitwa Catherin Zeta Jones....
 
Labda kama wametengeneza kwa photo shop... Huyo dada mwembaba... I LOVE her... she is one of the most sexy ladies ile mbaya... Ni actress anaitwa Catherin Zeta Jones....

Kumbe mkwe unapenda wembamba??
 
Labda kama wametengeneza kwa photo shop... Huyo dada mwembaba... I LOVE her... she is one of the most sexy ladies ile mbaya... Ni actress anaitwa Catherin Zeta Jones....

swala ni unene na wembamba,,,
 
Kabisa bana... nisije kuona wa kuruka ruka...lol... Utanitisha....

siunajua wakwe, hutakiwi kufanya kosa lakini nitakutunzia vizuri sana binti yako, atapendwa hadi umwonee wivu.
 
Wembamba wana faida ...
, pia mkipigana ni rahisi kumdunda, ...

Ha ha ha, kwa nini mpigane lakini? Nimesoma maoni yote naona mnapenda wembamba sijui kwa kufua mkumbo wa fasheni ya siku hizi kujikondesha ua kitu gani?
Mie kwa maoni yangu, ninapenda mwembamba nitoke naye out lakini chumbani nafurahia zaidi mnene. Ee bwana ukakuta lijimama linajituma kunako, hicho kimbaumbau utakisahau!
 
Back
Top Bottom