Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Naomba kuuliza.Nitamuapproach vipi mpenzi wangu apunguze unene?Maana wanawake ukiwaambia chochote kuhusu mwili wake anahisi humpendi.
Ziwa furushi....zaidi ya pale hapana kwa kweli [emoji3][emoji3]
Au kama alivyo Wema sahivi.. Aah vimiguu kama miwa.
Unene siupendi hata robo...bora mwili wa wastani.
Ila unene wa shapeless, tumbo tumbo, kono kono, kiuno hakijulikani kimeanzia wapi, tako lipo lipo tu, ziwa limedondoka mpaka bra inagoma kukusupport me hapana bora niwe kama Mange tu
 
Sasa hivi tumbo limeisha hadi raha nimefanya mazoezi nimepungua kidogo ila tumbo limeisha

Nilikuwaga mwembamba sana napulizwa na upepo nilikuwa naitwa ".... Kipepeo" nilivyofikisha miaka 15 jamani sijui hata nilifutukia wapi
😀😀
 
Back
Top Bottom