Mwanamke mpumbavu hupigwa ili upumbavu umtoke

Mwanamke mpumbavu hupigwa ili upumbavu umtoke

Sawa, kama ungefikiri vyema pengine usingediriki kuandika haya.
Hakuna ruhusa wala sheria popote kupiga mwanamke..
Unajuwa kama ni jinai kupiga hata mkeo?
Au sababu hawaendi kushitaki police?

Pia kitendo cha kupiga mwanamke ni hatari kwa usalama wako..unaweza ukaozea jela,,maisha yako yote,,
Mfano umempiga mwanamke ,,ikatokea umempa ulemavu wa maisha,,
Au akapoteza maisha uanaume wako utakusaidia nn mbele ya sheria?
Mwanamke hapigwi mkuu,,ukiona hamuendani fukuza ,,weka mwingine..
Mark my words.
Mimi niliwahi kupiga mwanamke wakati nina umri wa miaka 25.
Alizimia nusu saa,,, yale niliyoyawaza akiwa bado hajapata fahamu,,yamenifundisha sana kuhusu kupiga..mwanamke na hata kupigana na yeyote sifanyi upuuzi huo.
Tangu siku hiyo nimejifunza kupiga yeyote ktk maisha yangu..
Ni mwanaume mwoga wa kuachwa tu ndy hutumia nguvu nyingi kuzuia asiachwe..kwa kupiga.
Kama ni mwanaume kweli mwache aende zake,,na wewe uwende na hamsini zako.
Hivi unaweza eleza kwann umpige mwanamke?
 
Hao ndo wale wanatukanwa na wake zao alaf wanainama kama makondoo tu
Kwani ukimwambiya. Mkeo ashike hamsini zake utapungukiwa nn?
Kama sio uoga wa kuachwa nn?
Kama unajiamini mwambiye mm na ww basi,,ondoka,,
kama hukuzuia KIRIKUU asiondoke..
 
Ukweli tupu..
Jifanye uweke usawa kwenye boma yako uone cha mtema kuni...
 
Kwani ukumwambiya ashike hamsini zake hyo mkeo utapungukiwa nn?
Kama sio uoga wa kuachwa nn?
Kama unajiamini mwambiye mm na ww basi,,ondoka,,kama hukuzuia KIRIKUU asiondoke..
Kaka hao wanawake unawaambia mimi na wewe basi kila mtu ashike hamsini zake ni hawa tunaowaoa kwa ndoa mixer kuchangisha watu au unazungumzia mademu wa mtaani????

Hivi una ndoa kweli?

Unadhani utaweza kuoa kila baada ya miezi 6???think..

Watu wengi wameanza kupiga wanawake baada ya kuwaoa sio upenzi ambao kila mtu anaweza kuacha na kumove on
 
Nadhani umeshapata jibu kamili..
Umesema wanaume wengi wameanza kupiga baada ya kuoa ,,
wakati wa uchumba kupiga ni ngumu sababu ya kutokujiamini na mahusiano yako,,
Pengine kuhofia mwanamke atabadili mawazo ya kuolewa na wewe.

Lakini ukimpiga ukiwa umeshaoa hana pa kwenda,,bado ataendelea kuwa mkeo hata iweje.

Maswali magumu..

Kwann uanze kupiga baada ya ndoa?

Jibu ni kwamba..
Ni uoga wa kuachwa.

Na kwanini upige kama kweli unajiamini ni mwanaume kamili?

Jibu ni kwamba,,
Mwanaume dhaifu na muoga wa kuachwa pekee ndy hupiga mwanamke..

Mwanaume kamili huweka sheria zake kwa mwanamke,,
Akishindwa fukuza,,,

Unasema mwanamke mpumbavu hupigwa ,,
Mimi nasema .
mwanaume bwege ndy hupiga mwanamke,,
Mfano umempiga ikatokea umeua,,
utapata faida gani?
Umempiga binti wa watu umempa kilema cha maisha,,
utapata faida gani?

Inchi za dunia ya kwanza kupiga mwanamke ni kosa kubwa kuliko kukutwa na madawa ya kulevya..

Ni shit hole countries pekee ndy kuna mambo hayo ya kupiga wanawake,,
Tena kimya kimya hata police haendi kushitaki.

Tena dume zima linatamba mbele za watu kuwa napiga mwanamke,,

--Hivi mwanamke sio binadamu?
--Hastahili kuheshimiwa?
--Hastahili kusikilizwa?
--Hastahili kupewa nafasi ya kujiekeza?
Mwanamke akikushinda mwache aende zake,,
Hata ukioa na kuacha Mara mia,,ni bora kuliko kupiga..
Kuwa makini ktk kutafuta mke bora,,na sio bora mke.
wanaume wengi hatuchaguwi wife materials,,
wengi tunafata mioyo yetu inapopenda hata kama mwanamke ni mnyonya damu.(vampire)sisi hatutazami hilo.

Mwisho wa siku mke akionyesha rangi halisi ya mwili wake ,,ishakuwa taabu,,Mara kupigana na kudhalilishana.
Kama unajiamini wewe ni mwanaume wa shoka,,piga chini mwanamke,, angalia maisha yako..
Wengi wameanguka sababu ya mwanamke,,, tuwe makini.

Kuacha mwanamke bado unampenda,,, ni ujasiri zaidi ya kupambana na chui 3..

Soma nilichoandika elewa then reply hlf Mimi nitakuja kureply ukiwa na majibu ambayo yanaonyesha umeelewa nilichoandika kwenye comment yangu
 
Back
Top Bottom