Mwanamke mpumbavu hupigwa ili upumbavu umtoke

Mwanamke mpumbavu hupigwa ili upumbavu umtoke

Ni kumuacha na ujinga wake...

Kumbuka sio M,jinga, ni mpumbavu.
Mjinga hufundishika, hafanyi kwa kusudi.
Imagine mwanamke anakujia usiku amechelewa akiwa amelewa, unamuuliza kulikoni, anakupa shit.
Imagine umekuta sms za hovyo kwa simu yake, kulikoni, unapewa shit.
Imagine unakuta mkeo anamkwida mama yako bado usimpige, walahi hata serikali itakuona wewe ni fala
 
Kupiga sio sukuhisho hasa kwa mtu ambae hamjazaliwa na kukulia pamoja.
Mtu mliyekutana ukubwani, nikuongea nae, akigoma mkalie kimya ukimtenga,
Ikizidi muache aendelee na maisha yake.....

Unajua moja ya kazi ya mwanaume duniani?

Mwanaume moja ya majukumu yake ni kuitiisha dunia, kuiweka chini yake. Ikiwa ni pamoja na kumtiisha mke wake, watoto na hata jamii kwa ujumla.

Mwanaume akiwa mtu wa kuacha acha mambo yaenda kama yalivyo matokeo yake dunia inaharibika.

Upumbavu wa wanawake ni kutokana na ulegevu wa wanaume.

Hakuna ambacho hakitiishwi na mwanaume bila kujali kitu hiko kikoje. Ndio maana wanaume walipewa mamlaka na utawala juu ya wanawake na dunia kwa ujumla.

Kufikiri kama wewe ni kufikiri kikike, yaani kama mtu aliyechini ya utawala.

Muone Magufuli, yeye ni mfano bora kwa wanaume, jambo jama haliendi lenyewe unaliendesha kwa nguvu, tena kwa ubabe mpaka litaenda lenyewe na kujuta kwa nini lisingeenda lenyewe hapo kabla. Huo ndio uanaume.
 
Bahati nzuri sina mama, amenitoka nikiwa mdogo, ila tambua mwanamke hapaswi kukudharau, na jitahidi kumkwepa, uhuru unaraha yake...
Kwani kuna nini ukomae nae?

Uhuru wake ni kuwa na hekima, adabu, heshima, utiifu na mambo mema kama hayo. Mwanamke hana uhuru wa kuwa mpumbavu, atachapika tuu mpaka upumbavu umtoke, bila kujali wapumbavu wenzake watasema nini. Wakitaka kuingilia waambie wapite mbele nao watachapika akili ziwakae sawa
 
Nainga mkono hoja.

Mwanamke mwenye hekima na anayejiheshimu na kuheshimu ndoa yake basi asipigwe bali akanywe na kuonywa.

ILA

Mwanamke mpumbavu mwenye tabia (including but not limited to) uchepukaji, asiyejali familia yake, dharau kwa mwanaume wake basi achapwe ili afundishwe.
 
MWANAMKE MPUMBAVU HUPIGWA ILI UPUMBAVU UTOKE

Na, Robert Heriel

Wanawake ni Mama zetu, dada zetu, wake zetu, shangaza na bibi zetu. Ni viumbe muhimu kwetu na dunia kwa ujumla.

Wapo wanawake wa ina mbili naam aina tatu ambao wakiolewa huwa tafrani ndani ya ndoa; Mwanamke Malaya, mwanamke mchawi na mwanamke mpumbavu. Adhabu za wanawake hawa zinafanana kwani wote lazima wavunje ndoa. Adhabu ya jumla ni kufukuzwa ndani ya ndoa ikiwezekana kwa kipigo kikali.

Adhabu ya mwanamke mchawi ni kifo, tena afe kifo cha uchungu. Adhabu ya mwanamke malaya nayo ni kifo, adhabu ya mwanamke mpumbavu ni kumuacha ili akakutana na wapumbavu wenzake.

Kupigwa kwa Shilole kunaweza kuwa sawa au isiwe sawa kutegemeana na sababu ya iliyomfanya apigwe. Kama upumbavu ndio sababu basi alipaswa apigwe zaidi ya hapo ili akili imkae sawa.

Wanaume wa siku hizi kuna sehemu tunafeli ndio maana wanawake wapumbavu wanaongezeka kila kukicha. Upumbavu wa wanawake chanzo chake kikuu ni ulegevu wa wanaume. Mwanamke anafanya vile atakavyo, anakudharau, anawanaume mia kidogo na unawafahamu alafu unakuta mwanaume unacheka cheka kama fala. Unacheka cheka nini, Piga makofi, ukiona habadiliki, piga ngumi, ukiona bado upumbavu wake kaung'ang'ania, piga vichwa akili imkae sawa ukiona imeshindikana piga chini. muache maana utakuja kuua, upumbavu wake umeshikana na roho yake kumaanisha ukiutoa naye anakufa.

Mwanaume hakuna muda wa kubembelezana, mbembeleze mwanamke mcha Mungu, mwanamke anayejiheshimu, mwanamke anayekuheshimu kama Mume wake, huyo mbembeleze lakini wanawake wapumbavu piga makofi, chapa bakora, usijali kwenda polisi, usijali kuitwa kwenye vikao, kama hao ndio wanamfundisha upuuzi waambie wamchukue. Mwanaume lazima uwe ngangari.

Jamii yenye wanaume Ngangari huzalisha wanawake wenye akili, wenye heshima na adabu, wanawake wachapakazi. Lakini jamii zenye wanaume legelege, mwanaume anamdomo kuliko vitendo huzalisha wanawake malaya, wanawake wasio na adabu, wanawake wa hovyo. Jamii ya Wasukuma, Wakurya, Wamasai na baadhi ya Wachaga ni jamii ambayo wanaume zao ni wakali, hawataki mchezo. Usishangae kuona wanawake wao nao wakawa heavy weight kwenye masuala ya maendeleo, heshima, uchapakazi, na utii. Wanawake wa jamii hizi huhitaji mwanaume aliyekamilika, mwanaume anayejielewa, asiyetaka mchezo. Ukizingua unachapika, kisha unapewa hela ya kwenda hospitali.

Huwezi mwanamke ukalala nje au ukachelewa kurudi nyumbani ati uje tujadiliane, tunajadiliana nini, utanambia nini ambacho ulishindwa kuniaga. Yaani unajiamulia kama mwanaume tangu lini. Sasa utachapika, utapigika na kama utataka kwenda kwenu nenda huko walipokufundisha upuuzi huo. Waambie Mume wangu kanipiga kwa sababu sikumuaga, nililala nje, au nilichelewa kurudi nyumbani bila ya taarifa. Ukiongeza maneno, nikiitwa unachapika mbele ya wazazi wako walioshindwa kukulea, mbele ya polisi ili wajue kuwa wapo waanaume wasiotaka upumbavu.

Yaani nikute sms ya kipumbavu kwenye simu, ati unabebika na mtu mwingine mimi nikuchekee, unachapika, hakuna muda wa kuomba msamaha kwenye mambo kama hayo. Huwa wanaume hawajadili mambo ya kipuuzi, ati huyu ni nani, ulikuwa unaongea naye nini? wakati sms zinajieleza. Mwanamke utachapika, utapigika nusura ufe. Yakikushinda nenda kwenu, au tafuta wanaume wapumbavu watakaovumilia upumbavu wako.

Mimi ndiye nimekuoa, sio serikali, wala sio kanisa. Wewe sio mke wa kanisa au mke wa serikali. Wewe ni Mke wangu. Ukizingua huzingui serikali wala kanisa, unanizingua mimi. Kanisa halitakuonea wivu wala serikali, mimi ndiye ninayekuonea wivu. Serikali na kanisa havitajisikia vibaya pale unaponifanyia upumbuvu, ni mimi nitakayejisikia vibaya. Utachapika, utasagika, utamalizika, atakayekutetea mfuate huyo ukaishi naye.

Mwanaume sharti ufanye kazi kama mwanaume, sio unazubaa zubaa kama mtoto wa kike. Ndio maana baadhi ya wanaume siku hizi kwa ulegevu wanashindwa na wanawake. Utampigaje mtu anayekulisha, yeye ndiye anatakiwa akupige kwa kuwa yeye ndiye mwanaume, anakulea, anakuvalisha, anakulisha, analipa kodi, anasomesha watoto wako bado umpige, thubutuu! Ukimpiga utakuwa umechanganyikiwa, maana umempiga mumeo hata kama ni mwanamke.

Tunajua wanawake wapumbavu wanateteana, hilo halitakwamisha juhudi za wanaume wanaojielewa. Yaani wanaume wawasikilize wanawake wapumbavu, looh! Wapo wanawake wa kusikilizwa lakini sio wanawake wapumbavu. Mwanamke yeyote awe mkubwa awe mdogo, awe anacheo kiasi gani, awe na mali namna gani, ikiwa atawatetea wanawake wapumbavu wasiojielewa naye ni mpumbavu Kwani wapumbavu huteteana.

Yaani umtetee mwanamke aliyepigwa kwa kosa la kulala nje, aliyefumaniwa, aliyemdharau mume wake, aliyechelewa kurudi nyumbani bila taarifa, aliyeondoka nyumbani bila taarifa, aliyekutwa na sms za kipuuzi. Wewe ni mpumbavu, bila kujali wewe ni nani.

Mwanamke mpumbavu utamuona kwenye maneno yake, mavazi yake, matendo yake, chaguzi zake, mwanamke mpumbavu utamuona jinsi anavyomchukulia mume wake. Pia utamuona siku akichagua mume wa kumuoa.

Zingatia; Wapo pia wanaume wapumbavu, ambao utawatambua kwa mambo haya; Hapendi kufanya kazi yeye anategemea kulelewa, kupewa pesa na mwanamke, hupenda urembo kama mwanamke, hupenda umalaya yaani anatamaa ya ngono, kila mwanamke anamtaka, hawezi majukumu yake kama mume, hana maamuzi magumu, kila kitu anategemea kushauriwa na hata akishauriwa hatafanya, analia lia kama mwanamke hata kwa mambo madogo.

Wanawake wenye hekima kamwe hawawezi kuwa na wanaume wapumbavu kwa sababu hawana uwezo wa kuwabadilisha. Wanawake wenye hekima huweza kuolewa na mwanaume mjinga anamfundisha mpaka akawa mume bora, lakini mwanaume mpumbavu hafundishiki. Utasema utachoka.

Mwanaume mwenye hekima huweza kuoa mwanamke mpumbavu, kwani anauwezo wa kumbadilisha kwa vipigo, micharazo, bakora na viboko. Upumbavu unaondolewa kwa bakora, lakini ujinga kwa maonyo mafunzo.

Mwanaume kama huwezi kupiga kamwe usimuoe mwanamke mpumbavu, utakufa siku sio zako.

Muhimu: Mwanamke mwema hapigwi, huonywa na kufunzwa. Ni dhambi kumpiga mke mwema kwa ujinga wake, bali mfunze kwa upendo. Pia ni dhambi kutokumpa mapigo mwanamke mpumbavu, kwani ndoa hiyo haitadumu. Mpige mkeo kwa upendo mpaka upumbavu umtoke, lakini kama umeshikana na roho yake achana naye usijeukaua.

Vipigo viendelee!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
0693322300


Kipigo ndiyo solution, hakuna namna
 
Back
Top Bottom