Acha kujibu upumbavu wewe! Nani unamjibu hivyo?! Hebu kuwa na adabu.UWE NA MTOTO KAMA MIE URINGE? HUNA HADHI HATA YA KUWA HOUSE BOY WANGU, UNADHANI KILA MTU HUMU NDANI NI TYPE ZA ASHA NGEDERE KAMA MAMA YAKO MZAZI? MTOTO WA MALAYA NI MALAYA... ITS OBVIOUS UMERITHI UMALAYA WA MAMAAKO NA MWANAO NAE ATARITHI UMALAYA WENU NDOMANA HUSHTUKI AKIPEWA KICHAPO COZ NDO MALEZI ULIYOKULIA HAYO YA MAMAAKO KUMCHEPUKIA BABAAKO NA KUPIGWA. MPUMBAVU MKUBWA!
Na wote wanaomtetea ni wapumbavu kama yeye tumwanamke bila kumkumbusha kwa kipigo atakuambukiza upumbavu!
na mwanamke anaetakiwa kupigwa ni yule mpumbavu tu!
mwanamke mwerevu hapigwi kamwe!
na ni udhaifu kumpiga mwanamke mwerevu
shilole ni mpumbavu
Wewe nae ni mpumbavu kuliko hao wanawake wapumbavu.Akili za kipumbavu hizi. Kumbuka mwanamke siyo mtumwa wako is a Friend mliokubaliana kuishi pamoja. Mkishindwana mnaachana kistaarabu. Kumpiga mwanamke ni upumbavu . unatumia weakness ya yeye kutokua na nguvu.
Huna akili na hiyo familia ya mke wote akili haipo sehemu husika mmeikanyagia na kiatu.Mimi nimejipambanua mkuu, sina unafiki, mke wangu yupo humu anajua kile nikisemacho. Bahati nzuri natumia majina halisi, wakwe zangu wananielewa, mashemeji wananielewa, kiufupi nimejipambanua, sina unafiki mimi. Ukizingua unachapika, unasagika na kumalizika.
Narudia tena,wewe ni wakupewa vitasa vya bei ghali ili akili ikukae sawa.Hii mada yote ni mkuki Kwa nguruwe!
Mnatoa povu wakati upumbavu wa wanaume mnauunga mkoni kila kukicha .
Mwamba kwani wewe unaegemea wapi?Wakati sura na shepu zinawapeleka mabinti wangi kuolewa, tabia zao zinawarudisha kwa wazazi wao kwa kasi ya standard gauge
Narudia tena,wewe ni wakupewa vitasa vya bei ghali ili akili ikukae sawa.
Ahahaaaa,naunga mkono hojaMimi nimejipambanua mkuu, sina unafiki, mke wangu yupo humu anajua kile nikisemacho. Bahati nzuri natumia majina halisi, wakwe zangu wananielewa, mashemeji wananielewa, kiufupi nimejipambanua, sina unafiki mimi. Ukizingua unachapika, unasagika na kumalizika.
Na mwanaume mpumbavu lama wewe apewe adhabu gani?
Upande wa kamati ya maadili😜😜Mwamba kwani wewe unaegemea wapi?
Nasemaga hawa ma wife beaters watakuwa wanalishwa vinyesi sana tena sana tu.
Wana funza kichwani.
Umpige mtu mzima mwenzio utegemee upendo na heshima? Haha!
Mimi ni mkurya, Nilikuwa najiuliza kwanini baba hampigi mama kama wengi wanavyotusema wakurya basi ndio nlivyokuwa mkubwa nikajua mama yangu sio mpumbavu maana anatelekeza majukumu yanayopaswa kutekelezwa na mwanamke na alimuheshimu sana baba,..Ila sipati picha hali ingekuwa vice versa nadhani kungekuwa na vilio sana pale nyumbani.
Namuunga mkono mtoa maada na ninawaona wanaume wanaomtetea shilole ni Maboya kabisa zumbu kuku, Hivi mke wako anatoa ujasiri wapi wa kulala nje ya nyumba, Mnayajua au ndio mshazoea maumivu ya mke wako kupigwa D*du usiku na jamaa mwengine Sio ishu mwanamke wako akikuchiti wakati wewe hujui kinachoendelea au unahisi tu kuna kitu kinaendelea bila ushahidi, Ila ni uzumbukuku kukubali eti mke wako alale nje na unajua kabisa kinachoendelea huo usiku.
Shilole ni mwanamke mpumbavu sana, Narudia tena Shilole ni mwanamke mpumbavu sana ashukuru aliwapata kina uchebe hao, Angetupata sisi wakurya au ndugu zetu hapa wasukuma au wahaya angenyooka ndani ya siku mbili tu maana hua tunatia displini yenye kiwango cha lami
sahihi ni kufanya nini?Kupiga sio sahihi....
Kupiga sio sahihi....
kumuachaje?Ni kumuacha na ujinga wake...