Mwanamke mpumbavu hupigwa ili upumbavu umtoke

Mwanamke mpumbavu hupigwa ili upumbavu umtoke

huna haja ya kumpiga we mpe helaaaa kisha mpandishe cheo awe mke mkubwa.

mwanaume vipande ulivyopenda havijakamilikaaa....ulitakiwa upende hadi kipande cha udhaifuuu ....mxxxxx u
 
Acha kumfananisha mzazi wangu na watu wasieleweka.isingekuwa rahisi shishi kuniamini for nothing wewe hujui kama ananilea au la!
Acha story za kunishusha man

Kama sio mzazi wako mbona anakulea, basi sorry nimuite Mama Mlezi si ndio?
 
huna haja ya kumpiga we mpe helaaaa.....kisha mpandishe cheo awe mke mkubwaaaa..

mwanaume vipande ulivyopenda havijakamilikaaa....ulitakiwa upende hadi kipande cha udhaifuuu ....mxxxxx u

Mwanamke mpumbavu hapewi hela, atatumia hizo hizo kukudhuru. Atakuendea kwa waganga, atahonga wanaume wenzako. Mwanamke mpumbavu hupigwa kwanza mpaka upumbavu umtoke kisha baadaye ndio unampa pesa.

Mwanamke mpumbavu ni kama mgonjwa, Mgonjwa hapewi pesa bali dawa ili apone
 
Jamii zote dunia zinapiga wanawake sio wazungu sio waafrica

Ni kazi sana mwanaume kuvumilia mwanamke anayekudharau kwa namna yeyote ile.


Jamaa angu mmoja kaoa hana hata mwezi mkewe kamtukana tena kisa cha kijinga tu

Karudi nyumbani kakuta chakula hamna mke hajasema kama anaumwa jamaa anaulizia chakula,mwanamke anamwambia naumwa jamaa akamwambia ungenipa taarifa nipitie mgahawa

Mwanamke sasa yaani mi naumwa niache kujiuguza nifanye kazi ya kukuridhisha wewe sifanyi huo upumbavu

Imagine umetoka zako kazini umechoka una njaa mtu mkeo anakujibu hivyo !!!!unaweza mvumilia mara ya kwanza mara ya pili mara ya tatu ila ipo siku tu as long as Mwanamke ataendelea na majibu hayo ipo siku utajikuta umetupa bonge la kofi.

Na ukianza kupiga mwanamke kwa ujinga mmoja ndo basi tena utakuwa unampiga kila akikosea..


Jamaa alinisimulia hadi mimi wa pembeni nikapata hasira.


Wanaume wachache sana wana mkono wa kupiga ila wengi wanapiga sababu maji yamefika shingoni wameshindwa kuji control.

Wife ananiulizaga hivi nikikosea utanipiga?namwambiaga wife toka tupo kwenye upenzi sijawahi kukugusa hata kidogo hadi nakuoa i cant promise siwezi kukupiga sababu kipigo kinakuja baada ya wewe mwenyewe kukitafuta kwa mda mrefu hivyo usikitafute.
 
Acha kumfananisha mzazi wangu na watu wasieleweka.isingekuwa rahisi shishi kuniamini for nothing wewe hujui kama ananilea au la!
Acha story za kunishusha man


Sasa wewe Uchebe , fundi garage unakwama wapi mpaka unakaa namwanamke jitu zima kukuzalia alikuzalii unakuwa kama mtumba.
 
Mwanamke mpumbavu hapewi hela, atatumia hizo hizo kukudhuru. Atakuendea kwa waganga, atahonga wanaume wenzako. Mwanamke mpumbavu hupigwa kwanza mpaka upumbavu umtoke kisha baadaye ndio unampa pesa.

Mwanamke mpumbavu ni kama mgonjwa, Mgonjwa hapewi pesa bali dawa ili apone


Wewe unaogopa waganga ?
 
Shilole anazingua sana Halafu watu wananilaumu bila kutaka maelezo kutoka kwangu,mimi sijampiga shishi jana wala juzi..zile ni picha za kitambo sana siyo jana wala juzi.kwanza kuanzia majuzi shilole halali nyumbani sasa nimempiga wapi na saa ngapi?nimempiga kwenye banda lake la maonyesho ya sabasaba?
Wanafiki wengi wameabika
 
Kama huyo mwanamke umemfumania au umeona hakufai si umpe talaka uendelee na maisha yako? Ukimpiga ndo ataacha Kuchepuka? Huo ni unyanyasaji! kama ww unajiona Bondia Kapigane na Vidume sio mwanamke!

Mungu akuweke hai uje ushuhudie Binti yako akipoteza maisha kwa kupigwa na mumewe ndo utajua how painful and Deep this is. I feel sorry kwa mwanamke alie kwenye mahusiano na ww.
 
Hili andiko tutalijadili kikao kijacho cha wanaume ili lipitishwe kuwa katiba ya jumuiya ya wanaume Tanzania. Na wewe ndugu muandishi wa uzi tutakutangaza rasmi kuwa shujaa wa kizazi hiki.

Umeongea ukweli wa kiumeni na mimi nimekuelewa na nakuunga mkono. Jamii yenye watoto wa kiume dhaifu huzalisha breed ya wanawake wapumbavu. Hii ni dhahiri na ni kweli kabisa.

Jamii zenye wanaume waliosimama hauwezi kukuta malalamiko ya sijui uonevu wa wanawake sababu hakuna wanawake wapumbavu wapo wanawake wenye maadili na wanasimama na wanaume imara. Katika jamii ya namna hii ukiwapeleka hawa wanaume wanaosema mwanamke hapigwi wataona tofauti na kujifunza jambo la tofauti kuhusu mahusiano..........
 
Kama huyo mwanamke umemfumania au umeona hakufai si umpe talaka uendelee na maisha yako? Ukimpiga ndo ataacha Kuchepuka? Huo ni unyanyasaji! kama ww unajiona Bondia Kapigane na Vidume sio mwanamke! Mungu akuweke hai uje ushuhudie Binti yako akipoteza maisha kwa kupigwa na mumewe ndo utajua how painful and Deep this is. I feel sorry kwa mwanamke alie kwenye mahusiano na ww.

Vipigo kwa wanawake wapumbavu havikwepeki, binti yangu akizingua acha azingue, na wanaume wafunze adabu, si hakusikia maonyo ya baba ake. Acha wamfunze
 
Back
Top Bottom