Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #21
Kawaida tuu, mimi nilikuwepo kabla na nitakuwepo baada ya hapa...Acha maisha yaendelee
Acha kumfananisha mzazi wangu na watu wasieleweka.isingekuwa rahisi shishi kuniamini for nothing wewe hujui kama ananilea au la!Kwa hiyo wewe ndio umetoa ile Dozi, ila kama anakulea haujafanya poa. Kumpiga anayekulea ni sawa na kumpiga mzazi wako
Umechambua vizuri nadhani hapa ndo Mungu amekubariki kwenye kupiga ngumi wanawake.
Acha kumfananisha mzazi wangu na watu wasieleweka.isingekuwa rahisi shishi kuniamini for nothing wewe hujui kama ananilea au la!
Acha story za kunishusha man
huna haja ya kumpiga we mpe helaaaa.....kisha mpandishe cheo awe mke mkubwaaaa..
mwanaume vipande ulivyopenda havijakamilikaaa....ulitakiwa upende hadi kipande cha udhaifuuu ....mxxxxx u
Acha kumfananisha mzazi wangu na watu wasieleweka.isingekuwa rahisi shishi kuniamini for nothing wewe hujui kama ananilea au la!
Acha story za kunishusha man
Mwanamke mpumbavu hapewi hela, atatumia hizo hizo kukudhuru. Atakuendea kwa waganga, atahonga wanaume wenzako. Mwanamke mpumbavu hupigwa kwanza mpaka upumbavu umtoke kisha baadaye ndio unampa pesa.
Mwanamke mpumbavu ni kama mgonjwa, Mgonjwa hapewi pesa bali dawa ili apone
Sio wanawake wote wepesi hivyo kuwa wawezawa piga tu kirahisi sikiliza onyo la huyu mkuu wa polisiNa ndio maana nikatoa angalizo la wanaume wapumbavu hapo, sio jianaume halina mbele wa nyuma kazi kupiga watoto wa watu
sio wanawake wote wepesi hivyo kuwa wawezawa piga tu kirahisi sikiliza onyo la huyu mkuu wa polisi
Hakuna udhaifu lazima heshima iwepo hata kwa nguvuJapo sijasoma ila kumpiga Mwanamke ni udhaifu mkubwa
Unaamini maneno ya ShiloleUna maanisha dawa ni kusubiri alale afu unamuamsha kwa ngumi.
Wanafiki wengi wameabikaShilole anazingua sana Halafu watu wananilaumu bila kutaka maelezo kutoka kwangu,mimi sijampiga shishi jana wala juzi..zile ni picha za kitambo sana siyo jana wala juzi.kwanza kuanzia majuzi shilole halali nyumbani sasa nimempiga wapi na saa ngapi?nimempiga kwenye banda lake la maonyesho ya sabasaba?
Jamii zote dunia zinapiga wanawake sio wazungu sio waafrica
Kama huyo mwanamke umemfumania au umeona hakufai si umpe talaka uendelee na maisha yako? Ukimpiga ndo ataacha Kuchepuka? Huo ni unyanyasaji! kama ww unajiona Bondia Kapigane na Vidume sio mwanamke! Mungu akuweke hai uje ushuhudie Binti yako akipoteza maisha kwa kupigwa na mumewe ndo utajua how painful and Deep this is. I feel sorry kwa mwanamke alie kwenye mahusiano na ww.
Labda Mzungu wa Buza