Mwanamke mpumbavu hupigwa ili upumbavu umtoke

Akili za kipumbavu hizi. Kumbuka mwanamke siyo mtumwa wako is a Friend mliokubaliana kuishi pamoja. Mkishindwana mnaachana kistaarabu. Kumpiga mwanamke ni upumbavu . unatumia weakness ya yeye kutokua na nguvu.
 
Bar
Barbaric way of thinking
 
mleta uzi
umeeleweka vizuri sana kwa watu wenye ubongo uliotimia kwa miezi 9
 
Akili za kipumbavu hizi. Kumbuka mwanamke siyo mtumwa wako is a Friend mliokubaliana kuishi pamoja. Mkishindwana mnaachana kistaarabu. Kumpiga mwanamke ni upumbavu . unatumia weakness ya yeye kutokua na nguvu.

Tunatofautiana asili, zipo jamii zenye nguvu na jamii dhaifu. Kila jamii inamtazamo wake.
Jamii zenye nguvu tunaamini kuwa mwanamke sharti apigwe ikiwa anafanya upumbavu. Jamii dhaifu haziamini katika hayo. Hivyo tupo tofauti Mkuu.

Wasukumu, Wakurya, Wamasai, baadhi ya Wachaga, jamii za kanda ya ziwa karibu zote ni jamii zenye nguvu kwa hapa nchini, zote zinaamini hivyo. Jamii dhaifu sitazitaja, zenyewe zikipewa mwanamke wa Kichaga, au kiarusha, au kimeru, kikurya au kisukumu wanaume dhaifu wataishia kulia lia wanaonewa, sijui wanawake wajeuri. Kwa nini wasiwe jeuri ikiwa wanaishi na mwanaume asiyejitambua.

Mwanaume mwenye nguvu kamwe hawezi vumilia upumbavu wa mwanamke
 
Mbona povu sasa[emoji36]
 
Mwanamke lazma akutikise ajue nguvu yako ya maamuzi ukibaki kuwaza NGOs utapigiwa mpaka basiii
 
Nilichojifunza leo ni kuwa Mpumbavu huweza ficha kila kitu lakini kamwe hawezi ficha upumbavu wake.

Wewe umeficha majina yako halisi, lakini umeshindwa kuficha upumbavu wako. Umethibitisha kile nilichojifunza leo hii
kuna mahali bibilia inasema mwanamke apigwe.... mm nakumbuka kuna mafundisho ya dini yanayosema wanawake tuishi nao kwa akili... sasa hayo yako ww cjui unatoa wapi!!!
 
Mshamba wewe.
 
Eti kwanini haukuniambia unaumwa nipite mgahawani kula.
Hivi baadhi ya wanaume mna matatizo gani? Yaani mtu amekwambia anaumwa unawaza tu kula.
Kwa nini asingemuuliza kwanini haukuniambia nije nikupeleke hospital?
 
Hata mimi nimejikuta namwonea huruma mke wake.
Kaolewa na mjinga, mwoga, na mshamba.
Hapo kuhusu mtoto wake nimesema AMEN kubwa.
 
Wewe naye ni mpumbavu, hujua the real definition ya mwanaume, mwanaume sio uume ni cheo, mfano leo serikali uikashifu utakavyo alafu ikuamishe ikupeleke burundi, hiyo haipo utafungwa na ukizid kusumbua utapelekwa mabwepande vile vile, sio kila mwanamke ni malkia type, wapo wanawake ni kama majambazi sio lazima nawew usimame kama polisi, wanawake wanaweza wakakuaribia familia ukiwa mpuuzi mpuuzi, na familia ikiharibika Mungu na jamii watakulaumu wewe, ndo maana unatoa mahari, na unamlisha, unamvesha na unamlinda kuhakikisha yupo salama all the time, kuwa mwanaume acha upuuzi
Akili za kipumbavu hizi. Kumbuka mwanamke siyo mtumwa wako is a Friend mliokubaliana kuishi pamoja. Mkishindwana mnaachana kistaarabu. Kumpiga mwanamke ni upumbavu . unatumia weakness ya yeye kutokua na nguvu.
 
Aiseeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…