Naunga mkono hoja, mimi nikupe mwanangu wa kike halaf nije kugundua umeanzisha sredi hii JF, nakunyang'anya mwanangu na hela ya mahari sirejeshi. kulaleki!
Naunga mkono hoja, mimi nikupe mwanangu wa kike halaf nije kugundua umeanzisha sredi hii JF, nakunyang'anya mwanangu na hela ya mahari sirejeshi. kulaleki!
yaani it takes an effort to be a man..
kuzaliwa mwanaume this days haitoshi......
hivi ukinyanga'nywa mke kwa sababu hiyo
aibu yake ipo vipi????
sipati picha...
Muulize yeye
mpe mwenge wa uhuru, mvalishe magwanda kisha mwambie kuwa leo ni tisa disemba sitini na moja, midadi itampanda na atafika kileleni kuusimika mwenge
Kabisaaa... I think you guys ilitakiwa mjipange na kuanzisha club ya kuandaa
vijana kua Wanaume kupitia njia nyingi, kama athletes vile - inakua na a very
special well strategic man oriented programme...
Kuna maeneo wanakuvalisha kanga. Kuna wazee nawamaindisha sana wakikuona mwanaume umekaa ki b w e g e b w e g e wanakupa laivu za uso, kabla haijafikia steji kama hii.hivi ukinyanga'nywa mke kwa sababu hiyo
aibu yake ipo vipi????
sipati picha...
ilitakiwa michezo ipewe kipaumbele
badala ya bongofleva
sasa watoto wa kiume wanabana pua
na kukatika mauno....
kuna televisheni za bongo fleva tele
wakati hakuna tv hata moja ya michezo tu peke yake
hasara kwa taifa
hata mie sipati hata negative tu acha picha mkuu maana...aibu eti mwanaume mzima un auliza swali kama hili....atumia mikono na vidole au hana ULIMI huyu jamaaa? hivyo vinaitwa vikorombwezo kama hujiwezi mwengeni kama bujibuji alivosema...
Tatizo sio mafunzo tu tatizo na lifestyle pia, wee kijana mzima unamuona 24/7 kakaa anacheza play station na dadaake. Mwisho ndo unaona unaongea nae na yeye anakurembulia macho anamuiga dada. khaaa! na akikohoa tu anakwambia kachoka tayariKabisaaa... I think you guys ilitakiwa mjipange na kuanzisha club ya kuandaa
vijana kua Wanaume kupitia njia nyingi, kama athletes vile - inakua na a very
special well strategic man oriented programme...
Magulumalu that was mean ukute dogo yuko 16...
Tatizo sio mafunzo tu tatizo na lifestyle pia, wee kijana mzima unamuona 24/7 kakaa anacheza play station na dadaake. Mwisho ndo unaona unaongea nae na yeye anakurembulia macho anamuiga dada. khaaa! na akikohoa tu anakwambia kachoka tayari
unajua pia vijana wanahitaji
au niseme tunahitaji elimu ya zamani ya mababu
hasa vitabu vya masuala ya jando na kadhalika
na hata matibabu na vyakula vya kiasili....
vinginevyooooo
kijana wa sasa anatazama
channel 5 na clouds tv tu basi
halafu unampa mke.....
Dah! hilo nalo neno...
unajua pia vijana wanahitaji
au niseme tunahitaji elimu ya zamani ya mababu
hasa vitabu vya masuala ya jando na kadhalika
na hata matibabu na vyakula vya kiasili....
vinginevyooooo
kijana wa sasa anatazama
channel 5 na clouds tv tu basi
halafu unampa mke.....
ha haaa, Asha kumbe mtu wahivo tumsaidieje mi naona anatafuta wakumsaidia.