Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

Pdidy. YOU ARE EDUCATIVE. KEEP UP THE GOOD WORK. HILI HASA NDIO JUKUMU LA JUKWAA LA MAMBO YA KIKUBWA.
 
Jamani leo nimejitahidi wee nusu saa sijakojoa lakini mwenzangu hafiki kileleni nimfanyeje afike kileleni naona sijamtendea haki mimi napata raha ya juu yeye yuko kawaida tuu nimefanya kila utundu wapiii au ni sababu nilitumia condom!!msaada kwenye tuta.
 
Aseeee!!!!
we chalii hovyo kabisa!!

NOTE:muulize yeye umfanyie nini, unatuuliza sisi???
 
Uwezo wako umeishia hapo waachie wanaume wa shoka waingie mzigoni naona unaleta utani ww.
 
Romance kulamba mbunye yaani kila kitu nimemfanyia hafiki kilele nimechezea kisimi waapi au kuna ambacho sijafanya! Au huyu ni lesbian nn ndo mana hafiki niliowazoea huwa b4 nusu sAa tayari nasikia aam komiiing!!
 
Romance kulamba mbunye yaani kila kitu nimemfanyia hafiki kilele nimechezea kisimi waapi au kuna ambacho sijafanya! Au huyu ni lesbian nn ndo mana hafiki niliowazoea huwa b4 nusu sAa tayari nasikia aam komiiing!!

mopaozi
Everyone is different, so you can't judge her with the same yardstick. Pia unajuaje hao wa "b4 nusu saa tayari nasikia aam komiing" were not fakers? Anyways, my take on this is; the best person to learn this from is your partner herself. Kaa nae chini muulize what seems to be lacking and/or what is needed from you ili naye afikie huko kwa "aam komiing" .........................:wink1:
 
mhhh unaweza fanya vyote ulivyotaja hapo juu lakini kwa njia ambayo ina mput off mwenzako, tafakari, usitumie nguvu nyingi. ,aharifa ndio muhimu
 
Kweli jf kuna vituko ,kama ni demu wako atakusaliti ishu imekushinda achana na uzungu wa kulamba mbunye kashakuwa sugu huyo, mpe mikito !
 
Unapomnanilii mwingize na kidole/vidole kwenye masaburi, usiwe mwoga wa nya lakini
 
nusu saa tu? rudi shule tafadhali.
<br />
<br />
Nusu saa haitoshi!!! Yaani wanaume wengi ni maharage ya mbeya we unasema muda huo hautoshi!!kweli nadata kumuacha siwezi nategemea kumuoa sijawahi kumsikia akilalamika ila mimi concern yangu ni kuona anafk kileleni!!
 
Bro kuna wachuchu wako hivyo due to several factors. One of them ni kutahiriwa, pili psychological issues kama kubakwa in the past au kufanya kwenye nyumba ambayo haina cealing board so watu au ndugu zenu wanasikia chumba cha pili etc. mambo kama hayo yanaweza kumuadhiri mamsap awe anashindwa kufika. Solution huwa ni ngumu na probably she is ok with the way things are si unajua wenzetu sex ni mental zaidi ya physical
 
Listen, mzeya..Ishu ya msingi siyo muda unaoutumia...but nini unafanya, unaweza tumia dakika 5 tu lakini zikawa za maajabu kwa mpenzi wako.... na unaweza tumia masaa bado akaona ujafanya kitu. labda nikwambie hivi, kumridhisha mwanamke si ile push in and out, but michezo yako na maandalizi adhimu...mteke kimawazo huyo mwana dada, mleweshe pombe ya mapenzi kisha (Hot romance) malizia na hizo in-out push....
 
Dumelang umeongea ya maana sana, maana muda mrefu si hoja, hoja umefanya nini kwenye huo muda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…