umesha jua tatizo sababu mpenzio kakueleza. kwa nini
usimpe anachotaka? at least kakueleza hajatatua tatizo mwenyewe.
kama hujui anataka nini muulize kabisa au mwambie akuonyeshe.
Nani amwonyeshe nani?
huyu bi dada amuonyesha mkaka anachotaka afanyiwe...
Oh. Kwa yeye akishamwambia amemaliza. Kazi kwa mwanaume.
Yap.
Halafu kwa kipande fulani nampa pole huyo mkaka
maana yaoneka huo bi dada anasikiliza sana
maneno ya wengine ikija kwenye "SEX" pale aliposema
"na pia anakueleza jinsi wenzake wanavoridhishwa kimapenzi na wanaume wao"
Yea, pia pale anapouliza ukiwa kama mwanaume "utachukua hatua zipi kiungwana ili kumaliza tatizo na kuokoa penzi". Nilidhali itahitaji efforts toka kwa pande zote mbili? Otherwise, kama anaeleza jinsi "wenzake wanavoridhishwa kimapenzi na wanaume wao" si bora tuu aombe threesome nao?
Kama mwenye shida ni mtoa mada angekuja direct na kuuliza swali kuliko kupindisha.
Nikisoma hii article ni kama imekuja from man point of view. lakini sina uhakika zaidi ni
vigumu kusema tumsaidie vipi kama hatujui ni mke au mme....
Anywa kama ulivyosema ikija kwenye sex kweli ni jitihada kutoka pande zote mbili
zinazoweza kufanya hii task rahisi, tamu na kufurahia zaidi.
Ndio maana nimemwuliza kama yeye ni ke au me. Inawezekana ni ke halafu amemwambia jamaa yake hivyo, jamaa aka-react in certain way, kwa hiyo anataka kujua kama wanaume wengine wangereact hivyo pia. JF ni zaidi ya tuijuavyo.
Sasa siutoe somo?Dahhhhhhh
itabidi tusubiri majibu ya maswali yako ..
maana ikija kwenye hii game ke na me wanahitaji
vitu tofauti .. i mean moja atajaribu ku defend na mwingine anajaribu ku score.
Mrete kwangu nimupe mara 2 tu, na nitampandisha mpaka the peak of mount kilimanjaro akishuka huko, nawewe ndo uendelee, hapo utakua unamfikisha. Unauliza makofi polisi yanapigwaje?
Hello friends.
Mimi nina swali kwa wanaume,,pia napenda kupata honest answers...swali ni hili..Hivi wewe kama mwanaume unaejiamini ktk mambo yako na maisha kwa ujumla,na una mpenz wako na mnapendana sana,,
lakini kiukweli katika swala la mapenzi (sex) huwa haumridhishi mwenzio na humfikishi anakotaka...
Mrembo wako huyo anapokuwa muwazi kwako na kukuambia how weak you are in bed,..and how boring she feels unapoishia njiani bila kumfikisha kuleeee..na pia anakueleza jinsi wenzake wanavoridhishwa kimapenzi na wanaume wao,,lakini wewe humtendei hivyo...jinsi gani anatamani ubadilike au anaelezea hamu yake ya kuridhishwa na wewe but you cant..
Je wewe kama mwanaume utajisikiaje unapogundua kuwa humridhishi mwenzio???pia utachukua hatua zipi kiungwana ili kumaliza tatizo na kuokoa penzi???