Mwanamke mwenye akili nyingi anahitajika kama Mke

Jaribu kina Wema, Uwoya, Wolper n.k. mbona wapo wengi sana? Hao wote wanajua kuziona na kuzitumia fursa vizuri. Vinginevyo kwa nini uje JF wakati wako wafanyabiashara wengi tu Kkoo, mamantilie, hao wote wana uwezo wa kutumia fursa. Namna ya tatu ni kuwasiliana na WHO, watakuwa na data base ya wanawake wenye sifa hizo
 
Aisee..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mtu hutafuta ambacho hana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili nyingi ni zipi? Hafu we unasumbuliwa na ashki huna lengo la madhubuti la kuoa
 
Nakuchemsha akili hivyo..

Ndio mwanzo wa kuwa akili kibwa..

Hapo nimemaanisha usipende kila ktu kuletewa mezani..

Yakupasa uchanganue akili kdogo..

Google yupo philosopher wa muaka 60

Kwanza kwann unanitajia majina ww halafu unaniambia niende google badala ww unipe wasifu wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Hiyo mkuu wewe unatoa pesa mwanamke anatoa akili?
 
"Nimekaa nikafiliki" ndio nini!?
Halafu upo tayari kuongozwa na mwanamke!? Mana umesema hata akipatikana wa kukuzidi maarifa sawa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…