Mwanamke mwenye akili nyingi anahitajika kama Mke

Mwanamke mwenye akili nyingi anahitajika kama Mke

Good luck.

Ukiona zinapwaya kidogo unatafuta mwanamke anakujazilizia pale palipopungua.
 
Mimi ni kijana wa kitanzania ninayefikilia kujiajili. Umri ni miaka28.. Mrefu wastani..

Dhumuni la kuleta tangazo hili hapa, ni kuwa. Nimekaa nikafiliki. Palipo na mafanikio ya Mwanaume yeyote. Basi kunanguvu ya mwanamke nyuma..

Nikafikilia tena, Ili ufanikiwe. Unahitaji mawazo sahihi toka kwa mtu sahihi kwa wakati sahihi..

Nikafikilia tena, Msingi imara wa familia ni mwanamke mwenye kitu kichwani. Yani awe na akili mingi mingi..

Nikafikilia tena, ili ujitume zaidi unahitaji nguvu ya kukupush. Kukushauri. Kukuweka sawa. Na kukuelekeza pia. Hapa anatakiwa mtu mwenye IQ kubwa sanaa.

Nikawaza tena, kwa mujibu wa shirika la afya duniani WHO, watoto wanaozaliwa hurithi kwa kiasi kikubwa akili za wazazi wao wa kike. Nami staki uko mbeleni mwanangu aje ateseke..

Ieleweke..

Akili ninazozungumzia hapa ni akili za kawaida tu, zinazoona fursa mahali popote pale. ( Kama ilivyokuwa kwa The late Ruge Mutahaba )

Mambo ya sijui nilipata One ya point7. Sjui ninachet cha Awards toka chuo nilichosoma. Mara sjui nina firsclass. Sjui GPA yangu ni moto. Ebanaa eehh, wewe kaa huko huko na mavyeti vyako..

Sijamaanisha
Akili sijui ya Kuuchambua uchumi wa Tanzania. Sijui factors for inflation. Sijui exchange rate zimekuwaje huko. Sjui Hotuba za Ndugai zmekuaje kuaje.. oyah mi staak mavitu magumu magumu.

Kuhusu ninayemtaka.
Kigezo kikuu ni AKILI NYINGII..
Rangi Yeyoteee..
Kabila loloteeee
Umri wowote
Dini yeyotee
Amezaa ama hajazaa ni mipango ya Mungu..

NB
Najua kuna pipo zitaleta masihara kwenye mambo sreouz kaya haya.

Sasa basi, nitoe wito kwa Mods mlio online. Kwa yeyote atakayeleta ujinga kwenye uzi huu, nitaomba apelekwe likizo ( BAN )ya angalau miezi6 ama zaidi ili iwe fundisho kwa wote wanaoleta utani kwa mambo sereouz kama haya..

Mwisho.

Inawezekana kweli mi nikawa natafuta mtu mwenye akili kubwa ila mie nikawa na akili ndogo.
Kumbuka Chanya inamuhitaji Hasi ili ziende sawa. Kwa hiyo nami naweza kuwa Hasi so namuhitaji Chanya ili tusongee...

Asanteni..

Sent using Jamii Forums mobile app
hapa ndipo mnapofeli, mwanamke ukimchukulia kama chombo cha starehe wala huwezi kupanic hata siku moja,lakini ukitegemea sijui akushauri hili au lile,au umchukulie kama mwanaume mwenzio au usubiri akushauri sijui nini UTASUBIRI SANA
 
Kwa hiyo unashauri Ke ni wa kuchukuliwa km ulivyosema hapo..
hapa ndipo mnapofeli, mwanamke ukimchukulia kama chombo cha starehe wala huwezi kupanic hata siku moja,lakini ukitegemea sijui akushauri hili au lile,au umchukulie kama mwanaume mwenzio au usubiri akushauri sijui nini UTASUBIRI SANA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka unipe namb ya Dem wako uliyemzalisha kisha ukamtelekeza sio.. nimekushtukia mkuu. Huyo pambana nae tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
huu mchezo alitakaga kunifanyia mjomba yangu kabisa isee,kanilengesha kwa demu eti nimuoe na vikao analazimisha vianze mara moja, kuja kuchunguza kumbe ni demu wake alikuwa anambinua sema yeye tayari ana mke so alitaka kumbe nioe tuwe tunabandua wote, yani hapa akili za wanawake ndipo zinaponishinda kabisa
 
Huyo Uncle anaroho mbayaa sanaa.. Akaona akulengeshe boya.. dah

Back
Top Bottom