Mwanamke mwenye akili nyingi anahitajika kama Mke

Mwanamke mwenye akili nyingi anahitajika kama Mke

Haha..
Huyo inventor

Bongo utamtoa wapi?! Kwa pesa zipi?!
20200405_162932.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah...Bado nazidi kusisitiza...kiasili...wajibu mkuu wa Mke ni kumfariji Mume....na wajibu mkuu wa Mume ni kumlinda Mke...[emoji2960]

Sent using Beretta ARX160
 
Kwa mwandiko huu nimebadili nia ya kuolewa

Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
 
Kweli kabisa kwako nakuja na chura tu, akili ntazikuta huko huko 😀😀,ila usiombe watoto wakafata akili za mama, utajutaa
Iyo iyo ndio uje nayo mama🤣🤣🤣 hahah akili za mama duh itabidi tufukunyuane day 14 ili 80% achukue kwangu beby!
 
Back
Top Bottom