Mwanamke mwenye akili nyingi anahitajika kama Mke

Dah...Bado nazidi kusisitiza...kiasili...wajibu mkuu wa Mke ni kumfariji Mume....na wajibu mkuu wa Mume ni kumlinda Mke...[emoji2960]

Sent using Beretta ARX160
 
Kwa mwandiko huu nimebadili nia ya kuolewa

Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
 
Kweli kabisa kwako nakuja na chura tu, akili ntazikuta huko huko πŸ˜€πŸ˜€,ila usiombe watoto wakafata akili za mama, utajutaa
Iyo iyo ndio uje nayo mama🀣🀣🀣 hahah akili za mama duh itabidi tufukunyuane day 14 ili 80% achukue kwangu beby!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…