Mwanamke mwenye heshima anatakiwa aamke kila baada ya masaa mawili amgeuze mume wake asije vunjika shingo

Mwanamke mwenye heshima anatakiwa aamke kila baada ya masaa mawili amgeuze mume wake asije vunjika shingo

Mume ataka malezi, sio mambo ya kihuni🤣🤣🤣 wanahangaika mchana acha usiku tuwadekeze🤣🤣🤣
Shika shika shingo hilo la kichwa cha CHINI uone km limesimama vizuri tayari kwa shughuli
 
Mwenzio nikitaka kugeuka namuamsha namwambia mume wangu Naomba nigeukie ubavu wa huku.....naogopa kugeuka kimyakimya nisimuharibie usingizi wake mtoto wa watu.
Otikiii 😬
 
Mwenzio nikitaka kugeuka namuamsha namwambia mume wangu Naomba nigeukie ubavu wa huku.....naogopa kugeuka kimyakimya nisimuharibie usingizi wake mtoto wa watu.
Geuza geuza shingo lake la kichwa cha CHINI usisahau kufanya hivyo Pia
 
Malezi gani tena jamani, kazi ya malezi si ya mama au??? Arudi kwao akapate malezi bora kabisa.....
Mwanaume hakui, always a baby.....au na wewe unaamini mtoto wa kiume anaacha kunyonya akiwa na miaka miwili?🤣🤣🤣
 
Mwanaume usipende dezodezo siku ukiwa jela kazi ya kukugeuza kila baada ya masaa mawili ataifanya nani,nyapala au?
 
Amgeuze neno amgeuze wakati hajalala kifudifudi

Amgeuze ,limetumika kama......?
 
Duuh walai nafurahi network imerudi af nakutana na hii... tz ni stress free country
 
Back
Top Bottom