Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Hawamtakii mema mtoto wao.... binti atafute mdada wa kazi amuache hapo hapo kwa mzee wake.... akisettle atamchukua kwanza haipendezi ndoa mbichi kwenda na mtoto hata ingekua hapa hapa Nchini, mara zote watoto hubaki kwanza nyumbani hata mwezi.Ndio hivyo wazazi wake wamegoma hasa mzee wake na kaka yake mkubwa.
Wakishakaa wakasomana vizuri atamchukua tu, bado mapema sana kujicommit... ni kweli mtoto wa mtu ana changamoto nyingiAfu pia naona ujanielewa yani jamaa kagoka kabisa kumchukua mtoto.
Yani ni ile kuwa mimi silei watoto wa mwanaume mwingine.
🤣🤣🤣Watuachee🤒Mnawananga sana masinglemazaa mnataka mchukue nafasi zao nini ?
Unajiskiaje mtoto wako kulelewa na mwanaume mwingineMe nilimzalisha mwanamke akaolewa na mwanaune mwingne ila mpaka Leo bado namla kila nikitaka na mme wake yupo na wanalea mtoto wangu
Unajiskiaje mtoto wako kulelewa na mwanaume mwingine
Nilikua najskia vibaya zamani ila sa hiv sina shida kwasabb kuna vitu vilitokea I can't mention here ila wanaume wenzangu tu nawashauri wasioe single MotherUnajiskiaje mtoto wako kulelewa na mwanaume mwingine
Tuseme tu wanaishi nae kwasbaab kila weekend nipo nae na kila kitu on meUnajiskiaje mtoto wako kulelewa na mwanaume mwingine