Mwanamke mwenye sifa hizi, muda wako wa kukutana na mwenza wako umefika

Mwanamke mwenye sifa hizi, muda wako wa kukutana na mwenza wako umefika

Bob Malik

Senior Member
Joined
Oct 1, 2019
Posts
125
Reaction score
419
Mwonekano
1. Mrefu
2. Mweupe

Umri
Kuanzia miaka 20-27


Dini
Mkristo (Msabato)

Kabila
Msukuma ( hasahasa Mnyantuzu), Muha au Mhehe.

Elimu
Diploma/ Degree

SIFA ZANGU
Mwonekano
1. Mrefu
2. Mweusi

 Umri

Miaka 28

 Dini

Mkristo (Msabato)

 Kabila

Msukuma (Mnyantuzu)

 Elimu
Diploma

Kazi
Biashara

NB. Tutapitia hatua zote za kimaadili kuanzia urafiki, uchumba na ndoa.
 
Back
Top Bottom