Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msamehe huyo.Ana udumavu wa akili.Twende naye hivyohivyo tusionekane tunamfanyia ukatili au kumtenga.Segregation si nzuri.Ona sasa kiinglish ya sekondari shikizi. Aibu sana.
Njiro aisee na matukio ya kutisha miaka na miaka sijui kwa nini sema washua wengi na wafanyabiashara kwa iyo tusishangae matukio ya mauaji , uvamizi na kugombea mali nkArusha. Mwanamke mwingine mkazi wa Njiro jijini Arusha, Janerose Dewasi (66) amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake baada ya kupigwa na kitu chenye ncha kali.
Tukio hilo limetokea siku chache baada ya mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite, Ruth Mmassy anayedaiwa kuuawa na mtoto wake
Kamanda wa Polisi Mkoani Arusha, Justine Masejo amethibitisha kutokea tukio hilo leo Jumatano Desemba 29, 2021 na kueleza kuwa wanamsaka mfanyakazi wa ndani ambaye alikuwa anaishi na marehemu huyo.
Kamanda Masejo amesema mwili wa mwanamke huyo aliyekuwa anaishi na mfanyakazi wa ndani kwenye nyumba yake eneo la block D amekutwa amepigwa na kitu chenye ncha kali kwenye paji la uso huku akibainisha kuwa Jeshi la Polisi linamsaka mfanyakazi wa ndani ambaye anadaiwa kutoroka muda mfupi kabla ya kugundulika tukio hilo.
"Uchunguzi wa awali umebaini kuwa marehemu alikuwa anaishi na mtumishi wa kazi za ndani ambaye alianza kazi wiki moja iliyopita"
Swali zuri, mie mpenzi wa horror movies i can relate. Ukute wana wanakuwa framed tu ila kuna mchizi ndo muuaji mwenyewe. AsalaleeeKuna Serial Killer?
Tuliza makalio wewe TAGAAcha kebehi za kiChadema.