Mwanamke Mwingine auwawa Arusha. Akutwa amepigwa kitu chenye ncha kali.

Njiro aisee na matukio ya kutisha miaka na miaka sijui kwa nini sema washua wengi na wafanyabiashara kwa iyo tusishangae matukio ya mauaji , uvamizi na kugombea mali nk
 
Kabila gani?
Naona wanaume wamechoka kuvumilia hawana mahali pa kupeleka malalamiko yao
Huko dawati la jinsi na watoto wanaume wanakandamizwa sana hakuna mtu wa kuwasikiliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…