Mwanamke mzuri ni mzuri tu haitahitaji makorokoro meengi ili aonekane ana mvuto

Mwanamke mzuri ni mzuri tu haitahitaji makorokoro meengi ili aonekane ana mvuto

Huyo ni mzuri? Nah! Wa kawaida sana, wa aina hiyo huwa naaproach bila kujali kama atakubali au atakataa.

Hujawahi kuona wanawake wazuri wasiooga mapoda.
 
Wanawake wengi wana insecurities, make-ups are not for everyone, yaani wanapopaka hayo makorokoro mimi huwaga nataka kutapika.

Nimeshawahi kumuacha demu kwa sababu ya make-ups
 
Back
Top Bottom