Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
wakati unaendelea kujipanga KATAA NGONO[EMOJI23]Ndio bado tunajipanga sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakati unaendelea kujipanga KATAA NGONO[EMOJI23]Ndio bado tunajipanga sasa
Aisee sawaInabidi uvue shati utuwakilishe kwa kuandamana hapo mjini
Lengo la nini 😀ndo lengo lako kuleta huu uzi!! [emoji38][emoji38][emoji38]
Nchi inauzwa nyie mnakalia mapenzi acheni uzwazwa..[emoji23]
Dada sina sasa 😂😂😂Kwani huyo ni dada yako?
kwani unafikiri hakuelewa mada? Hapo kashakutukana ndgKwenye mapenzi ni yupi?
Tatizo tupo huku kambini, familia unaiacha mbali; hapo inakuwaje sasa?tafta tu mmoja anaekupenda jinsi ulivyo.... baki njia kuu
yaani huogopi kupangwa uwe 1/10Kwanini niwaogope sasa
soma bibiliaTatizo tupo huku kambini, familia unaiacha mbali; hapo inakuwaje sasa?
Ahahaha kumbe uko kambini....😂😂😂😂😂😂😂Tatizo tupo huku kambini, familia unaiacha mbali; hapo inakuwaje sasa?
Mtungo au 😂😂😂yaani huogopi kupangwa uwe 1/10
taja jina la kambi huwenda ukawa member jf na kambini[emoji41]Tatizo tupo huku kambini, familia unaiacha mbali; hapo inakuwaje sasa?
Nimekuchagua wewe 😀Bora umenisaidia atulie tu 😀
Alafu mnazi ukisimama, niufanyeje?wakati unaendelea kujipanga KATAA NGONO[EMOJI23]
mtungo ndo nini hiyo....Mtungo au 😂😂😂
kumbe bibilia! Mimi nilifikiri biblia[emoji23]soma bibilia
Huo ndio uzalendo, lini utaandamana 😀Aisee sawa
wambie bado unajipangaAlafu mnazi ukisimama, niufanyeje?
Haya nijibuMwanamke gani tulia na mkewako hayo maswali waliosingle ndo waulize😀