Mwanamke mzuri wa kuoa ni mwalimu.

Mwanamke mzuri wa kuoa ni mwalimu.

Ila kwa infidelity nao wamo maana ngoma imewapukutisha kinoma hasa kipindi kile cha kufuata mishahara wilayani, labda ATM zinasaidia sasa hivi.
 
mwanamke mzuri wa kuoa ni
mwanasheria na awe mnyakyusa
awe mzaramo na mwimba taarabu
awe mwanasiasa then muhaya
IZO NDO FLAG ZA KUOA!!!!

Nadhani hapo ni kinyume chake, maana kama ni tasinia ya sheria niijuwa, wao(women lawyers) ndoa ni kwa ajili ya watoto wazaliwe ndani ya ndoa( inatokana na sheria zetu kumpa hadhi ndogo mtoto wa nje ya ndoa), baada ya kupata watoto wanaowataka lazima aanzishe fujo ili ndoa ivunjike. Chunguza hapo DSM wansheria wamama wazima( sema kuanzia 40 au 45 yrs) kama wapo kwenye ndoa utakuta ni asilimia ndogo, na hao wachache ndoa zimeshikilia uzi mwembamba hatari.
 
Ila kwa infidelity nao wamo maana ngoma imewapukutisha kinoma hasa kipindi kile cha kufuata mishahara wilayani, labda ATM zinasaidia sasa hivi.

ngoma kila sehemu kaka.
 
Ukitaka kuoa oa mwanamke ambaye ni mwalimu.
Huwa ni watu wenye hekima, wanaweza malezi kwasababu huwa wanakutana na watoto wengi wa tabia tofauti so wa kwake hawatomshinda.
Ni watu ambao hawawi overworked mara nyingi hivyo anapata muda wa kuwa na familia yake.
Na inasemekana wanaume wengi wenye hela huoa walimu.
Hiyo ni kweli wadau?
Wenye taaluma zingine mbona kazi tunayo.

Unamaanisha hata hawa walimu wa voda fasta ambao ualimu wenyewe wameenda baada ya kufeli secondary school?
 
mwanamke mzuri wa kuoa ni
mwanasheria na awe mnyakyusa
awe mzaramo na mwimba taarabu
awe mwanasiasa then muhaya
IZO NDO FLAG ZA KUOA!!!!

i think hapa una maanisha opposite is true, hawa uliowataja ni balaa wote
 
Back
Top Bottom