Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
- Thread starter
- #21
Inawezekana Samson pia alikuwa dhaifu. Majaribio zaidi ya matatu yote hakuyastukia hadi akanyolewa nyweleNi mwanaume dhaifu tu ndiye anayeshawishiwa na mwanamke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana Samson pia alikuwa dhaifu. Majaribio zaidi ya matatu yote hakuyastukia hadi akanyolewa nyweleNi mwanaume dhaifu tu ndiye anayeshawishiwa na mwanamke
🎵No woman cry🎵No woman no cry
Kutafuta maisha ni jukumu la kila mtu bila kujali jinsiaMaisha ni mfumo dume, otherwise haujiulizi kwann wanawake wakianza kutafuta maisha wenyewe bila wanaume nao wanaanza kutaka kuwa wanaume.
Wasingeanguka iwapo wanawake wasingekuwepo.Wote hawa hawajaangushwa na wanawake ni wao wenyewe walichangia anguko lao
Labda mwanaume kipofu awapite tu lakini sisi wenye macho yetu na misabwanda inavyo tikishwa tikishwa kama maini hatu wawachiiiii.😋Ili mwanaume usiangushwe na mwanamke ni kuhakikisha hata ukimkuta uchi mwanamke unampita bila kugeuka.
Aliyeiba mke wa askari ni Daudi na sio SelemanNi yule mwanamke ambaye alimuiba kwa askari wake.
Jitafakari ndugu kabla hujaangushwa na kupotezwa mazimaAdam,Samson na Daud kama hao mababu walishindwa ije kuwa sisi wajukuu
😘😘🥰🥰🥰🥰❤️❤️❤️❤️
Kwa hiyo wanawake wote wauawe,siyo?Awali ya yote niweke wazi kuhusu hili bandiko kwamba ninapotumia neno mwanamke mbaya simaanishi wanawake wote ni wabaya. Ni kweli kuna wanawake wabaya kitabia, lakini pia kuna wanawake wema hivyo tusiwachukulie wanawake wote kuwa ni wabaya.
Sasa tuendelee....
Kwa mujibu wa Biblia mwanamke ametumika sana kuangusha wanaume, na hadi hii leo maanguko mengi ya wanaume husababishwa na wanawake.
Anguko lq kwanza la mwanaume lililosababishwa na mwanamke lilifanyika pale bustanini Eden, yaani kwa anguko hilo wanaume wote tunakula kwa jasho. Baada ya hapo yalifuata maanguko mengi tu.
Samsoni aliua maelfu ya wafilisti peke yake, lakini alikuja kudodoshwa na mwanamke.
Mfalme Daudi alikuwa na upako aliua Simba na Dubu na alimuua pia yule Goliath mfilisti, lakini alikuja kuangukia kwa mwanamke tena mke wa mtu. Nk
Mwanamke mbaya atakufanya uwe mkate (Mithali 6:26)
Amewaua mashujaa - ni njia kuu ya kuzimu ( Mithali 7:27-27)
Tukiachana na hao waliotajwa katika Biblia bila shaka katika eneo lako unakoishi unawajua baadhi ya wanaume walioangushwa na wanawake.
Ukiwa kama mwanaume jitahidi usiangushwe kama hao uwajuao.
Ubarikiwe.
Alipakatwa kwenye mapaja na Delila akawa mjinga kabisa akataja chanzo cha nguvu zakeInawezekana Samson pia alikuwa dhaifu. Majaribio zaidi ya matatu yote hakuyastukia hadi akanyolewa nywele
Wanawake lazima wawepo, walitakiwa kukaza kama YosefuWasingeanguka iwapo wanawake wasingekuwepo.
Waliangushwa na wanawake mkuu.
Uko sahihi sana,angalia hata uvaaji wa nguo zao,sababu ya kuvaa nguo fupi ni nini,sababu ya kuvaa suruali za kubana kuonyesha umbile la mwili ni nini,sababu za kubandika makalio ya bandia ni nini,sababu ya kuvaa blauzi maziwa au tumbo linaonekana ni nini,sababu ya kuvaa nguo transparent unaona maungo ya mwili wake ni nini,sababu ya kuvaa nguo fupi au inayobana bila pichu ni nini,n.k.....Tamaa huwa haiji pasipo kushawishiwa. Wanawake wana mbinu zao za kumshawishi mwanaume, wahanga wanazijua hizo mbinu.
Kwa nini ulimkimbia ilhali ushamtia na ujauzito?Nakumbuka nivyokua na kazi ya maana tu. Mara kazini tukaajiri wafanyakazi wapya upande wa production.
Jicho lilitua kwa mmojawapo mdada mweusi hivii. (Mistake).
Nikamwimbisha hakubisha tukaanza kua wapenzi. Akilini nilijua na pass time tu kwanza Nina safari ndefu ya kuzifikia ndoto zangu. Ikiwamo kurudi shule na kufanya masters.
Bwanawee hali haikua hivyo. Mdada alijiongeza alihamisha nguo kidogo kidogo kutahamaki kabati limejaa nguo zake na ndio kashahamia.
Anapika ubwabwa mtamu mpaka unaona maisha si ndio haya.
Akajiongeza na mimba juu akashika. Mzee baba nikaona halaaa yaani kifupi nishaoa.
Akili ikakataa siezi oa kizembe hivi.
Nitajingamuaje sasa?
Kazini alishapata ma human rights wakaanza niendesha. Boss kamtia mimba naniliu afu ataki kumuoa.
Aibu kila nikienda job nikiona kitumbo mchongoko chake naishiwa pozi.
Nikaisakrifaisi kazi yangu niliyoipenda na kwenda kutafuta kazi nyingine.
Unaweza keguka ukalamba hiyo pili iliyo uchi Kisha ukaendelea na safari bila kutelezaUpo sahihi 40%
Kiufupi mwanaume huwa anajiangusha yeye mwenyewe na sio mwanamke, pale anapoanza kuamini kuwa amesimama na kuanza kutoa attention yake kwa cheapest women.
Ili mwanaume usiangushwe na mwanamke ni kuhakikisha hata ukimkuta uchi mwanamke unampita bila kugeuka.
Kitu kinachoanguka huwa ni kile ambacho hakijasimama vizuri.
Kubali kutikiswa Ila usikubali kutikisika wewe Kama wewe.