Mwanamke ni kama bidhaa, mkague mwili wake kabla ya kumuoa

Na hiyo bidhaa inadhibitishwa na bikra ama lazima iwe na seal. Ivi unajisikiaje unanunua bidhaa unakuta imeshafunguliwa ama imeshatumika na ilhali umeaminishwa bado ipo Kama ilivyotoka kwenye kiwandani
 
Na hiyo bidhaa inadhibitishwa na bikra ama lazima iwe na seal. Ivi unajisikiaje unanunua bidhaa unakuta imeshafunguliwa ama imeshatumika na ilhali umeaminishwa bado ipo Kama ilivyotoka kwenye kiwandani
Katika hili...hivi mwanamke naye huwa anapenda mwanamme ambaye hajatumika?
Demi
Joanah
Semeni kitu hapa
 
Kuna tabia huwa wanachukuana wanaowezana. Mwenye tatoo ataolewa na mpenda matatoo, lasivyo unajuta tu.
 
Wanaume tujitahidi tusioe wanawake malaya.
Mwanamke anapimwa kwa past yake, mwanaume anapimwa kwa future yake.
wengi wa wanawake malaya ni wazuri na wanavutia kila mwanaume kamahaba, labda mwanaume awe lofa na hajui mwanamke mzuri anavutiaje. Unaambiwa uoe mwanamke anayekuvutia kimahaba, utaoaje mwanamke asiyevutia? Kuna wanawake hawatongozwi kabisa na wanaume kwa jinsi walivyo hawavutii kimahaba labda wanavutia type yao. Umewahi kuona mwanamke asiyevutia kimahaba ni malaya? Wanawake wazuri wenye mvuto kimahaba wengi wao ni malaya hata kama wameolewa bado wanatoa uroda kwa wanaume wengine
 
Kwani wanaume hawana matatizo? Hata zamani ilikuwa mwanaume akichumbia tu lazima shemeji zake wakikutana na vitu vya ajabu wanamtosa hakuna kuoa dada Yao,
 
Katika hili...hivi mwanamke naye huwa anapenda mwanamme ambaye hajatumika?
Demi
Joanah
Semeni kitu hapa
Bro jiulize y nature imempa seal mwanamke na sio me,.
Me yeye awe na nguvu ya kwenda porini awinde alete kitoweo ndio seal yako.
Me wewe kuwa libaya baya ila kuwa na uhakika wa kula Kila mwanamke atakuja kwako.
Sie wanaume ujira wetu ni sexx ama ule mbususu basi , life is all about trading.
Tell me what a man gain from woman zaidi ya ngono tu tena ndani ya muda mfupi
 
Wake za watu wanaliwa sana, tena sana, yaani sana
Huu ndo ukweli mchungu, wahenga wanasema Ukiona mke anakuheshimu inatosha kabisa, mambo mengine tunaacha kama yalivyo..
 
Bora tucheke kidogo kama half time ya purukishani za kero ktk ajira za waalimu
 
Wanaume tujitahidi tusioe wanawake malaya.
Mwanamke anapimwa kwa past yake, mwanaume anapimwa kwa future yake.
Yaani hii akili ungeweka kwenye kujali mapito ya waalimu na watanzania wenzio Usipojaliwa mke zaidi ya mwema nijikata mikono yote na miguu. Lakin kule kwenye shida ya waalimu umekuwa mtu mwingine. As a sincere lady nimeona kusikuchwe sijakuweka bayana.

Ni Kweli Dunia na nchi yetu Ina tatizo la ubinafsi mpk ndoa zinateketea lkn unaweza kuwa sehemu ya suluhu na sio tatizo.
 
Katika hili...hivi mwanamke naye huwa anapenda mwanamme ambaye hajatumika?
Demi
Joanah
Semeni kitu hapa
Mwanamke anahitajika kuwa mbobevu au mzamivu zaidi ktk jambo Moja analoweza, mfano kupika, upole, ukarimu, mahaba, nk. Maana sii wote wanaweza kubobea kwenye vyote.

Kisha hiyo ndio silaha yangu kwa mume. Akienda huko kwa vinyamkera akikumbuka Kuna kitu kimemiss na mwenye hiyo brand ni mimi atakuja. Na mie Wala sitomnanga Wala kumblack mail. Nitamfanya azidi kuona huko kwa wengine Kuna ukurutu. (Kajiimbia Saida karoli) πŸ₯²πŸ₯²πŸ™ƒπŸ™ƒπŸ˜…

Naandika haya kuokoa wanawake wanaokaa kusononeka kwamba hawana shukrani, hawaridhiki, hutakiwi kugeuka parapanda kelele sio Dawa. Bali ndio zinamfanya kuku akalale huko kwa jirani.
 
Wanaume tumebarikowa sana
 
 
Mm sina tatizo na waalimu na nna waheshimu sana, ila tatizo langu kwao n kwann hawataki usaili na kwann wanajiona wao ndio special sana kuliko kada zingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…