Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Ukikua utakuja kufuta uzi huu wa kijinga!Mwenzenu ninapendwa japo sipatiwi tendo la ndoa. Naimani asilimia mia kuwa ninapendwa. Maake huyu mwanamke huufurahia sana uwepo wangu, huvutiwa na ucheshi wangu, hunitamka mara kwa mara mdomoni , huniulizia na kunisifia sana kwa marafiki zake, pia marafiki zangu
Vijizawadi vidogo vidogo vya hapa na pale napewa kimasihara sana, nimetambulishwa mara kadhaa kwa mama yake pamoja na ndugu wengine. Sijaombwa pesa hata mara moja zaidi ya mimi tu kujishtukia.
Lakini tendo la ndoa limekuwa mtihani. Yaani hata kwa dawa hayuko tayari kuyapanua. Lakini nina imani ananipenda sana
Niko tayari kumuoa hivyo hivyo. Kama ni tendo nitakuwa napata nje ya ndoa
Ahsanteni...
Aisee mimi mwenyewe kuna mschana asiponiona siku haiishi, huwa namchezea sana tukikutana namvyrugaaaaaMwenzenu ninapendwa japo sipatiwi tendo la ndoa. Naimani asilimia mia kuwa ninapendwa. Maake huyu mwanamke huufurahia sana uwepo wangu, huvutiwa na ucheshi wangu, hunitamka mara kwa mara mdomoni , huniulizia na kunisifia sana kwa marafiki zake, pia marafiki zangu
Vijizawadi vidogo vidogo vya hapa na pale napewa kimasihara sana, nimetambulishwa mara kadhaa kwa mama yake pamoja na ndugu wengine. Sijaombwa pesa hata mara moja zaidi ya mimi tu kujishtukia.
Lakini tendo la ndoa limekuwa mtihani. Yaani hata kwa dawa hayuko tayari kuyapanua. Lakini nina imani ananipenda sana
Niko tayari kumuoa hivyo hivyo. Kama ni tendo nitakuwa napata nje ya ndoa
Ahsanteni...
Habari ndo hiyo mkuuSafi kabisa na hata watoto mtapata nje ya ndoa.
Sawa sawa.Habari ndo hiyo mkuu
Hapana mkuu, nimeomba kwa kila namna, nimejaribu kimasihara nyingi zimegonga ukuta. Ikafika kipindi nikajiona kimoda, nikaamua kuipotezea mbususu yake, ila mwili na ufahanu wake bado navihitajisema huna ujanja wa kuomba game, domo zege wewe
😃😆 ila kwakweliMwenzenu ninapendwa japo sipatiwi tendo la ndoa. Naimani asilimia mia kuwa ninapendwa. Maana huyu mwanamke huufurahia sana uwepo wangu, huvutiwa na ucheshi wangu, hunitamka mara kwa mara mdomoni, huniulizia na kunisifia sana kwa marafiki zake, pia marafiki zangu.
Vijizawadi vidogo vidogo vya hapa na pale napewa kimasihara sana, nimetambulishwa mara kadhaa kwa mama yake pamoja na ndugu wengine. Sijaombwa pesa hata mara moja zaidi ya mimi tu kujishtukia, lakini tendo la ndoa limekuwa mtihani. Yaani hata kwa dawa hayuko tayari kuyapanua lakini nina imani ananipenda sana.
Niko tayari kumuoa hivyo hivyo, kama ni tendo nitakuwa napata nje ya ndoa!
Ahsanteni.