Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Imagine mke wako anaomba talaka kwa sababu upo bize na kazi..
Kisha anaenda mahakamani kudai mgawanyo wa mali, nusu kwa nusu.
Mali ulizozipata kutokana na kazi.
Mwanaume ana sacrifice muda, na jasho lake kwa ajili ya familia yake..
Ili mwisho aambulie maumizu kama zawadi..
Hii ni zaidi ya UBINAFSI na UKATILII.
Chagua kuoa mwanamke mwenye huruma na hustle zako..
Chagua mwanamke wa kuipa thamani familia yako
Ukiwa hauna kitu hawakutaki, ukiwa bize kukitafuta unaachwa..