Mwanamke ni muaminifu kwa hisia zake tu na sio juhudi zako..

Should be priotized because women deserve queen treatment
Do men deserves King treatment? From whom??
Tukiwa submissive inatosha
Angalau hata mngekuwa ila ukiwa na Submissive women(feminine) yule wa naturally sio wale wa ku fake life hamuwezi kufika huko.

Ila Ladies now days mnaangalia upande wenu tuu. Hauoni kama yule ni life paternal wako. Maisha yake ndio yako. Cha kusikitisha Mwanaume anawaza juu ya familia yake ila Mwanamke anawaza Maisha yake yeye anatoboaje yeye kama yeye. Very sad.
Itaskikaje kati hamtilii maanani
Hivi kwa akili ya kawaida mwanaume anaejitafuta na mwanaume ambae ameshajipata nani anakuwa yupo Busy??? Sasa kwanini Hatusikii kesi kama hizi kwa Vijana ambao bado wapo kwenye kujitafuta tunazisikia kwa wale ambao tayari wamepiga hatua kubwa kwenye maisha yao??

All in all punguzeni ubinafsi aisee.
 
Do men deserves King treatment? From whom??
Men should be treated with respect n admiration tu
Angalau hata mngekuwa ila ukiwa na Submissive women(feminine) yule wa naturally sio wale wa ku fake life hamuwezi kufika huko.
Utajuaje huyu ana fake life? ..what if the woman is trying to bring her best version n you end up thinking she's faking
Ila Ladies now days mnaangalia upande wenu tuu. Hauoni kama yule ni life paternal wako. Maisha yake ndio yako. Cha kusikitisha Mwanaume anawaza juu ya familia yake ila Mwanamke anawaza Maisha yake yeye anatoboaje yeye kama yeye. Very sad.
We us ladies we have another life outside marriage ..
we need to think about ourselves we can't end up with house chores everday ..
Tunawaza kutoboa ili baadae tunawasaidie majukumu

Hivi kwa akili ya kawaida mwanaume anaejitafuta na mwanaume ambae ameshajipata nani anakuwa yupo Busy???
Wore wapo busy ila sio busy kwa mwanamke anae mpenda
Sasa kwanini Hatusikii kesi kama hizi kwa Vijana ambao bado wapo kwenye kujitafuta tunazisikia kwa wale ambao tayari wamepiga hatua kubwa kwenye maisha yao??
Kesi za hivyo zinaskika kama mwanamke ni mama wa nyumbani
Ameridhia kukaa kuosha vyombo badala ya kujitafuta
All in all punguzeni ubinafsi aisee.
Tukiwa focused mnatuita wabinafsi
 
Men should be treated with respect n admiration tu
Kwanini Isiwe King treatment??
Kipi unakiacha alafu una offer only respect na admiration as you have Said??.
Utajuaje huyu ana fake life? ..what if the woman is trying to bring her best version n you end up thinking she's faking
Fake and OG are obvious isipokuwa kwa wasiowafahamu wanawake.
We us ladies we have another life outside marriage ..
Sasa haya ndio tunayoyasema. Hiyo another life ni kwa ajili ya manufaa ya familia au ya kwako.?? Jee Wanaume Nao wawe na Maisha yao outside Marriage???
we need to think about ourselves we can't end up with house chores everday ..
Tunawaza kutoboa ili baadae tunawasaidie majukumu
Wewe unataka kuthink about Yourself lakini unataka mwanaume akufikirie wewe Sasa si ndio ubinafsi huo.

Kuvunja ndoa na kugawana Mali ndio kusaidiana majukumu??
Wore wapo busy ila sio busy kwa mwanamke anae mpenda
Wanaume wote wanaanza kuwa busy baada ya miaka 20 ya ndoa??
Kesi za hivyo zinaskika kama mwanamke ni mama wa nyumbani
Ameridhia kukaa kuosha vyombo badala ya kujitafuta
Wanawake tabia zao zinafanana and to me ni bora huyo unaemuita Mama wa nyumbani kuliko yule anaetoka saa 12 asubuhi anarudi saa 3 usiku alafu hakuna cha maana kinacholetwa kwenye table Pesa yake inaishia vacations,, birthdays za Mashoga zake na Kitchen parties na kununua iPhone. Huku malezi ya watoto Yakisuasua watoto wanalelewa na Dada wa kazi Kama vile yatima.
Tukiwa focused mnatuita wabinafsi
You're not focused you're just corrupted.
 
Kwanini Isiwe King treatment??
Kipi unakiacha alafu una offer only respect na admiration as you have Said??.
Respect is enough for a man
Fake and OG are obvious isipokuwa kwa wasiowafahamu wanawake.

Sasa haya ndio tunayoyasema. Hiyo another life ni kwa ajili ya manufaa ya familia au ya kwako.??
Yangu na familia
Jee Wanaume Nao wawe na Maisha yao outside Marriage???
Apo atakuwa Anakimbia wajibu wake
Wewe unataka kuthink about Yourself lakini unataka mwanaume akufikirie wewe Sasa si ndio ubinafsi huo.
Sio ubinafsi ..it's all about putting oneself first
Kuvunja ndoa na kugawana Mali ndio kusaidiana majukumu??
Wajibu wa mwanamke sio kuhudumia ni kuhudumiw
Wanaume wote wanaanza kuwa busy baada ya miaka 20 ya ndoa??
Mnakuwa mshatuchoka
Wanawake tabia zao zinafanana and to me ni bora huyo unaemuita Mama wa nyumbani kuliko yule anaetoka saa 12 asubuhi anarudi saa 3 usiku alafu hakuna cha maana kinacholetwa kwenye table Pesa yake inaishia vacations,, birthdays za Mashoga zake na Kitchen parties na kununua iPhone. Huku malezi ya watoto Yakisuasua watoto wanalelewa na Dada wa kazi Kama vile yatima.
Ukifa huyo mama wa nyumbani ataendeshaje familia?
You're not focused you're just corrupted.
I'm just saying the reality
 
Respect is enough for a man
What else shouldn't be offered to man. Nataka nijue vitu gani Mwanaume hatakiwi kupewa as a king ila anatakiwa apewe heshima pekee??
Yangu na familia
Sio kweli. Labda kama unamaanisha familia ya kwenu (Baba yako mama yako na Wadogo na Dada zako).
Apo atakuwa Anakimbia wajibu wake
Kwanini wewe uwe na maisha yako nje ya ndoa alafu mwanaume asiwe nayo.

It's seems Ndoa ni Ukandamizaji au ndoa ni Utumwa kwa Mwanaume??
Sio ubinafsi ..it's all about putting oneself first
Putting oneself first is only for women??
Wajibu wa mwanamke sio kuhudumia ni kuhudumiw
Wajibu wa Mwanamke ni Upi??
Mnakuwa mshatuchoka
Kama ushawahi kuishi kwenye ndoa kuchokana kwa Wanandoa huwa ni mapema (almost less than 3yrs) sana Kinachobaki ni Upendo wenu na kuvumiliana. Ila 20 au 30yrs ndo useme hayo huo ni Utapeli.
Ukifa huyo mama wa nyumbani ataendeshaje familia?
Wanawake bwana so kwenye Ndoa Always lazima mwanaume afariki kwanza??

Okay nikitangulia mimi ataendesha Familia kwa zile mali nilizoziacha.
I'm just saying the reality
It's not reality.

jamii now iko very corrupted kwa ideologies za namna hii.
 
What else shouldn't be offered to man. Nataka nijue vitu gani Mwanaume hatakiwi kupewa as a king ila anatakiwa apewe heshima pekee??
Hela mwanaume hapewi
Sio kweli. Labda kama unamaanisha familia ya kwenu (Baba yako mama yako na Wadogo na Dada zako).

Kwanini wewe uwe na maisha yako nje ya ndoa alafu mwanaume asiwe nayo.
Sababu mwanaume muda wowote anabadilika kama kinyonga
It's seems Ndoa ni Ukandamizaji au ndoa ni Utumwa kwa Mwanaume??
Ni utumwa na ukandamizaji kwa pande zote mbili
Putting oneself first is only for women??
Yes cause men don't know how to put themselves first
Wajibu wa Mwanamke ni Upi??
Kuwa submissive kwa mwanaume tu
Kama ushawahi kuishi kwenye ndoa kuchokana kwa Wanandoa huwa ni mapema (almost less than 3yrs) sana Kinachobaki ni Upendo wenu na kuvumiliana. Ila 20 au 30yrs ndo useme hayo huo ni Utapeli.
Ndoa ina Siri nyingi being committed to someone for a life time unadhani mchezo..
Wanawake bwana so kwenye Ndoa Always lazima mwanaume afariki kwanza??
🤣🤣🤣Kwani nani anatanguliaga sana sana kama sio mwanaume
Okay nikitangulia mimi ataendesha Familia kwa zile mali nilizoziacha.
Ataendeshaje na Mali ulizoacha yet hana exposur yoyote ya kujitafutia labbda kama umeacha urithi wa kutosha na kula bata
It's not reality.
Then it's fact
jamii now iko very corrupted kwa ideologies za namna hii.
😁😁Mfumo wa siku hizi ndo upo hivyo mkuu
 
Hela mwanaume hapewi
King treatment ni kupewa hela?
Sababu mwanaume muda wowote anabadilika kama kinyonga
Jee Wanawake huwa hawabadiliki?? Ikiwa wanabadilika Mwanaume nae ajiandalie maisha ya Pembeni??
Ni utumwa na ukandamizaji kwa pande zote mbili
Sasa nimekuelewa unaposimamia.
Yes cause men don't know how to put themselves first
Then Do we have to Educate men that they should prioritize themselves first and second and third??
Kuwa submissive kwa mwanaume tu
May be but Now submission is against 'haki sawa' kwanini mmoja awe Submissive kwa mwenzake??
Ndoa ina Siri nyingi being committed to someone for a life time unadhani mchezo..

🤣🤣🤣Kwani nani anatanguliaga sana sana kama sio mwanaume

Ataendeshaje na Mali ulizoacha yet hana exposur yoyote ya kujitafutia labbda kama umeacha urithi wa kutosha na kula bata
Mwanamke kuwa Mama wa Nyumbani ndio kukosa Exposure??. It's not absolutely like that. Kuwa na uwezo wa kusimamia Na kuwa exposed ni vitu ambavyo sio lazima viendee sambamba. So expand your dimensions.
Then it's fact

😁😁Mfumo wa siku hizi ndo upo hivyo mkuu
Yes mfumo umekubali and that why Jamii ipo corrupted mno.
 
King treatment ni kupewa hela?
Any man who wants queen treatment should be ruled by a woman
Jee Wanawake huwa hawabadiliki?? Ikiwa wanabadilika Mwanaume nae ajiandalie maisha ya Pembeni??
Mwanamke sio rahisi labda kama umemkosea
Sasa nimekuelewa unaposimamia.

Then Do we have to Educate men that they should prioritize themselves first and second and third??
An intelligent man does not need that kind of education
May be but Now submission is against 'haki sawa' kwanini mmoja awe Submissive kwa mwenzake??
Being submissive ni wajibu wa mwanamke ata kwenye bible imeandikwa
Mwanamke kuwa Mama wa Nyumbani ndio kukosa Exposure??. It's not absolutely like that. Kuwa na uwezo wa kusimamia Na kuwa exposed ni vitu ambavyo sio lazima viendee sambamba. So expand your dimensions.
Unapataje exposure ya kujitafuta kati unashinda ndani kutwa nzima kutoka ni kuenda sokoni?
Yes mfumo umekubali and that why Jamii ipo corrupted mno.
What's your idea on this?
 
Any man who wants queen treatment should be ruled by a woman
Absolutely Mwanaume haitaji Queen treatment(Queen treatment is against masculinity). Kama ilivyo kuwa Sio kila mwanamke anastahili queen treatment.
Mwanamke sio rahisi labda kama umemkosea
So biased. Mimi nazungumzia Wanawake hawa wa Zama zetu sizungumzii Bibi Zetu wa zama hizo kwa sababu wao walikuwa more than just wives material.
An intelligent man does not need that kind of education
No. Elimu inahitajika kwa sababu mfumo haupo upande wao. Mfumo unawasukuma Wanaume wawe Watumwa wa Wanawake kwa kisingizio cha Majukumu na Wajibu.

Wakati huo huo unawavua Wanawake kwenye kutekeleza Haki za Wanaume kulingana na Majukumu yale waliyopewa.

Utasikia "Haki sawa hakuna wa Kumpangia mwenzake" alafu utasikia tena Mwanaume ndio Msimamizi wa kuhudumia Familia. Hapa ndio huwa sipaelewi.
Being submissive ni wajibu wa mwanamke ata kwenye bible imeandikwa
At least Unaelewa hilo. Ila Feminists Hawakubaliani na Hilo.
Unapataje exposure ya kujitafuta kati unashinda ndani kutwa nzima kutoka ni kuenda sokoni?
Mbona kuna shughuli nyingi watu wanazifanyia Nyumbani. Trust me Ni makubaliano tuu yanatakiwa ila Mwanamke anaweza kusimamia Biashara na Kuziongoza na kujifunza mambo mengi huku akiwa nyumbani kwake. Very applicable hasa kwa ulimwengu huu wa technologia.
What's your idea on this?
Even if i say it. it wont help anymore.

Ila kuendelea kung'ang'ania huu Mfumo ni kuendelea kuitumbukiza Jamii Shimoni.
 
Back
Top Bottom