Mwanamke ni muaminifu kwa hisia zake tu na sio juhudi zako..

Mwanamke ni muaminifu kwa hisia zake tu na sio juhudi zako..

Naona tunaanza kuwaelewa wazungu na concept yao ya ndoa za mkataba
 
This is not applied to me.

Personally I prioritize my responsibilities because they are what strengthen and define the bond between us [Me and She].
Just prioritize your responsibility another man will help you to prioritize your woman
 
Imagine mke wako anaomba talaka kwa sababu upo bize na kazi..

Kisha anaenda mahakamani kudai mgawanyo wa mali, nusu kwa nusu.

Mali ulizozipata kutokana na kazi.

Mwanaume ana sacrifice muda, na jasho lake kwa ajili ya familia yake..

Ili mwisho aambulie maumizu kama zawadi..

Hii ni zaidi ya UBINAFSI na UKATILII.

Chagua kuoa mwanamke mwenye huruma na hustle zako..

Chagua mwanamke wa kuipa thamani familia yako

Ukiwa hauna kitu hawakutaki, ukiwa bize kukitafuta unaachwa..

Wanawake hawanaga huruma.
Ila ni wazuri kuonyesha huruma bandia

Ishi kimaster
 
Sio wote wanatumika

Yaani mwanamke umtumie Miaka nenda Rudi alafu akutishie kuwa usipomhudumia ataondoka au atachukuliwa na wanaume mwingine alafu nawe Roho ikutoke si utakuwa hamnazo.

Wewe kama umepata mwanaume mwingine unayeona wa maana nenda, mwanaume naye apate Fursa ya kuchagua kibinti kingine kibichi

Wanaume washamba ndio huteswa na vikauli mshenzi
 
Yaani mwanamke umtumie Miaka nenda Rudi alafu akutishie kuwa usipomhudumia ataondoka au atachukuliwa na wanaume mwingine alafu nawe Roho ikutoke si utakuwa hamnazo.

Wewe kama umepata mwanaume mwingine unayeona wa maana nenda, mwanaume naye apate Fursa ya kuchagua kibinti kingine kibichi

Wanaume washamba ndio huteswa na vikauli mshenzi
sikupingi ila some women are irreplaceable come rain come sunshine Kuna mwanamke ukimpoteza huwezi kumpata kama huyo

Tumuulize kaka yetu Jux🤣🤣🤣🤣
 
Absolutely Mwanaume haitaji Queen treatment(Queen treatment is against masculinity). Kama ilivyo kuwa Sio kila mwanamke anastahili queen treatment.
Yupi ambae hana uhitaji na yupi ana uhitaji wa queen treatment?
So biased. Mimi nazungumzia Wanawake hawa wa Zama zetu sizungumzii Bibi Zetu wa zama hizo kwa sababu wao walikuwa more than just wives material.
Kipi kimelete tofauti kati ya wanawake wa sasa na wa zama tukilenga katika (uwife material)?
No. Elimu inahitajika kwa sababu mfumo haupo upande wao. Mfumo unawasukuma Wanaume wawe Watumwa wa Wanawake kwa kisingizio cha Majukumu na Wajibu.
Me naona mwanaume ambae hawajibiki ipasavyo atajiona mtumwa siku zote
Wakati huo huo unawavua Wanawake kwenye kutekeleza Haki za Wanaume kulingana na Majukumu yale waliyopewa.

Utasikia "Haki sawa hakuna wa Kumpangia mwenzake" alafu utasikia tena Mwanaume ndio Msimamizi wa kuhudumia Familia. Hapa ndio huwa sipaelewi.

At least Unaelewa hilo. Ila Feminists Hawakubaliani na Hilo.
Ufeminist ni sawa sawa na toxicity
Mbona kuna shughuli nyingi watu wanazifanyia Nyumbani. Trust me Ni makubaliano tuu yanatakiwa ila Mwanamke anaweza kusimamia Biashara na Kuziongoza na kujifunza mambo mengi huku akiwa nyumbani kwake. Very applicable hasa kwa ulimwengu huu wa technologia.
Mwanaume Gani akubali ufanye biashara ? Labda an intelligent man ila hwa wa kupita ni wanasema uzae ulee watoto
 
Back
Top Bottom