Mwanamke ni muaminifu kwa hisia zake tu na sio juhudi zako..

Mwanamke ni muaminifu kwa hisia zake tu na sio juhudi zako..

Mkuu ujue kuna kitu wanaume tunakipata kama mwendelezo wa seriez tuu ktk move ya maisha ya kutisha ya mwanaume. Hii move itaendelea mpaka hapo Yesu atakapo rudi kwakuwa wanaume tumeshikwa kimfumo tena ktk ustad wa hali ya juu. Hivi unafikiri kwanin sis tunaweza kuona ugumu wa kuish na mwanamke lakin hatuoni wala kuamin kama baba zetu walilizwa na mama zetu kiasi kwamba ndo sababu za watu wengi hawana baba zao?. Badala yake kila siku nikusfia wamama na kuwadharau, kuwa chukia na kuwatenga baba zetu. Ngoja tule jeuri yetu kwa namna flan maana wengi wetu tumekuwa disconnected na baba zetu hivyo hatuna msingi wa uelewa wa juu sura za wanawake.
I second this 👆🏻✊🏻
 
Usipohangaikia wenzako watakusaidia😌
Women love quantity time
Hii kauli huwa naiskia saana ila mwanaume anayeizingatia mim nnamuon kama anasaliti baba zetu. Binafsi mwanamke akiniambia kauli. Kama hiyo siwez mpiga ila lazima aombe poo au atasepa mwenyew coz ntamfanya kitu ambacho kitamfanya aone aibu hata kunivulia chup.
 
Imagine mke wako anaomba talaka kwa sababu upo bize na kazi..

Kisha anaenda mahakamani kudai mgawanyo wa mali, nusu kwa nusu.

Mali ulizozipata kutokana na kazi.

Mwanaume ana sacrifice muda, na jasho lake kwa ajili ya familia yake..

Ili mwisho aambulie maumizu kama zawadi..

Hii ni zaidi ya UBINAFSI na UKATILII.

Chagua kuoa mwanamke mwenye huruma na hustle zako..

Chagua mwanamke wa kuipa thamani familia yako

Ukiwa hauna kitu hawakutaki, ukiwa bize kukitafuta unaachwa..
Acheni ujinga
Weka mali zote kwa jina la mama yako au mtoto

Bora utapeliwe na mama yako mzazi kuliko mwanamke uliekutana nae ukubwani 😀
 
Acheni ujinga
Weka mali zote kwa jina la mama yako au mtoto

Bora utapeliwe na mama yako mzazi kuliko mwanamke uliekutana nae ukubwani 😀
Aisee Mimi sitatapeliwa mbona tutamalizana kininja ninja tu
 
Yupi ambae hana uhitaji na yupi ana uhitaji wa queen treatment?
Traditional feminine and Submissive woman deserves all from a man.
Kipi kimelete tofauti kati ya wanawake wa sasa na wa zama tukilenga katika (uwife material)?
Bibi zetu Utii,, Kunyenyekea na Kumuhudumia Mume Ilikuwa ni Proud.

Now wa sasa hayo yote wanatafsiri kama Utumwa Na Ukandamizaji na kinyume na Haki.

Bibi zetu ndoa ilikuwa Ni fungamano la Maisha ilikuwa ni heshima kwake.

Wa sasa Ndoa kwao aidha iwe ajira au Asione umuhimu wa ndoa kabisaaa.
Me naona mwanaume ambae hawajibiki ipasavyo atajiona mtumwa siku zote
Utumwa is Unnatural and Responsibilities are Natural.

Ndo za sasa Hazitaki mwanaume awe responsible zinataka mwanaume awe mtumwa.
Ufeminist ni sawa sawa na toxicity
Exactly. Thanks.
Mwanaume Gani akubali ufanye biashara ? Labda an intelligent man ila hwa wa kupita ni wanasema uzae ulee watoto
Choose the best.

But Note down Mwanamke kupambania Maisha sio Jukumu lake la Kwanza. (Hasa akiwa ndani ya ndoa).
 
Traditional feminine and Submissive woman deserves all from a man.

Bibi zetu Utii,, Kunyenyekea na Kumuhudumia Mume Ilikuwa ni Proud.
Kizazi hiki tulishasshau ikiwemo na mimi
Now wa sasa hayo yote wanatafsiri kama Utumwa Na Ukandamizaji na kinyume na Haki.

Bibi zetu ndoa ilikuwa Ni fungamano la Maisha ilikuwa ni heshima kwake.
Nowadays ni biashara
Wa sasa Ndoa kwao aidha iwe ajira au Asione umuhimu wa ndoa kabisaaa.
Hamna mtu ambae anakuwa tayari kusettle
Utumwa is Unnatural and Responsibilities are Natural.
💯
Ndo za sasa Hazitaki mwanaume awe responsible zinataka mwanaume awe mtumwa.
Hii point Kila jinsia inavutaga upande wake tu
Exactly. Thanks.

Choose the best.
And I'll choose right,
But Note down Mwanamke kupambania Maisha sio Jukumu lake la Kwanza. (Hasa akiwa ndani ya ndoa).
Ndo maana nasema ndoa ni utumwa
Kwanini nisipambanie maisha. Nikiwa kwenye ndoa
 
Kizazi hiki tulishasshau ikiwemo na mimi

Nowadays ni biashara

Hamna mtu ambae anakuwa tayari kusettle

💯

Hii point Kila jinsia inavutaga upande wake tu

And I'll choose right,

Ndo maana nasema ndoa ni utumwa
Kwanini nisipambanie maisha. Nikiwa kwenye ndoa
Nadhani inanitosha kuendelea kuandika.

Ahsante kwa muda wako.
 
Back
Top Bottom