Mwanamke ni muaminifu kwa hisia zake tu na sio juhudi zako..

Mwanamke ni muaminifu kwa hisia zake tu na sio juhudi zako..

Imagine mke wako anaomba talaka kwa sababu upo bize na kazi..

Kisha anaenda mahakamani kudai mgawanyo wa mali, nusu kwa nusu.

Mali ulizozipata kutokana na kazi.

Mwanaume ana sacrifice muda, na jasho lake kwa ajili ya familia yake..

Ili mwisho aambulie maumizu kama zawadi..

Hii ni zaidi ya UBINAFSI na UKATILII.

Chagua kuoa mwanamke mwenye huruma na hustle zako..

Chagua mwanamke wa kuipa thamani familia yako

Ukiwa hauna kitu hawakutaki, ukiwa bize kukitafuta unaachwa..
Hizi sheria za kuwakandamiza wanaume zimetungwa na wanaume.
Badala ya kulalamika tufanye amendment ya sheria hizo
 
Imagine mke wako anaomba talaka kwa sababu upo bize na kazi..

Kisha anaenda mahakamani kudai mgawanyo wa mali, nusu kwa nusu.

Mali ulizozipata kutokana na kazi.

Mwanaume ana sacrifice muda, na jasho lake kwa ajili ya familia yake..

Ili mwisho aambulie maumizu kama zawadi..

Hii ni zaidi ya UBINAFSI na UKATILII.

Chagua kuoa mwanamke mwenye huruma na hustle zako..

Chagua mwanamke wa kuipa thamani familia yako

Ukiwa hauna kitu hawakutaki, ukiwa bize kukitafuta unaachwa..
siku ikitokea akaomba talaka nampa na mali zote nampa naacha nyumba moja nauza naenda kuishi visiwa wa ugiriki huko nanunua kamtumbwi kamoja navuaga samaki nauza naishi huko nakufia huko sirudi
 
Just prioritize your responsibility another man will help you to prioritize your woman
I know my responsibilities in a relationship but I can't let them Interfere with my Source of incomes.

Is that what you mean, Leaving all my responsibilities and put all of my attentions to a Woman?
 
I know my responsibilities in a relationship but I can't let them Interfere with my Source of incomes.

Is that what you mean, Leaving all my responsibilities and put all of my attentions to a Woman?
Not leaving your responsibility but creating time for your woman
But you can handle both:;woman and responsibilities
 
Mkuu ujue kuna kitu wanaume tunakipata kama mwendelezo wa seriez tuu ktk move ya maisha ya kutisha ya mwanaume. Hii move itaendelea mpaka hapo Yesu atakapo rudi kwakuwa wanaume tumeshikwa kimfumo tena ktk ustad wa hali ya juu. Hivi unafikiri kwanin sis tunaweza kuona ugumu wa kuish na mwanamke lakin hatuoni wala kuamin kama baba zetu walilizwa na mama zetu kiasi kwamba ndo sababu za watu wengi hawana baba zao?. Badala yake kila siku nikusfia wamama na kuwadharau, kuwa chukia na kuwatenga baba zetu. Ngoja tule jeuri yetu kwa namna flan maana wengi wetu tumekuwa disconnected na baba zetu hivyo hatuna msingi wa uelewa wa juu sura za wanawake.
 
Back
Top Bottom