Imagine mke wako anaomba talaka kwasababu upo bize na kazi..
Kisha anaenda mahakamani kudai mgawanyo wa mali, nusu kwa nusu.
Mali ulizozipata kutokana na kazi.
Mwanaume ana sacrifice muda, na jasho lake kwaajili ya familia yake..
Ili mwisho aambulie maumizu kama zawadi..
Hii ni zaidi ya UBINAFSI na UKATILII.
Chagua kuoa mwanamke mwenye huruma na hustle zako..
Chagua mwanamke wa kuipa thamani familia yako
Ukiwa hauna kitu hawakutaki, ukiwa bize kukitafuta unaachwa..
Players ndio wataelewa mchezo huu ukojeHahahaha kataaa ndoa 😁😁😁
naam jembe langu,😂🤣Kataa ndoa....🤨
Ndoa ni uhalifu...😶
Ndoa ni dhulma ya mali..😎
Naweka uzi wa kutafuta mchumba, ila pre nuptial agreement muhimuKwa jinsi hali ilivyo ndoa inaelekea kuwa ni janga
Kabisa,Kwa jinsi hali ilivyo ndoa inaelekea kuwa ni janga
TrueMaovu mengi duniani chanzo ni mwanamke. Focus na mambo yako tu wao waache kama walivo
Kabisa Kuna wakati nilimwambia nataka kununua daladala tupate Cha kufanya nabkituingizia pesa akakataa akasema Anza na ist gari atembee. Nikamwambia unakataa Cha kukuingizia pesa unataka Cha kukutoa pesa. Nilimsema sana nikwambia kumbe unawaza kujionyesha tuView attachment 3207093picha inajieleza na ndio uhalisia wenyewe mkuu Wakati wewe unawaza upambane utengeneze kesho Bora ya familia yako mwanamke yeye anawaza kuvaa mawingi,kope,kucha na mavazi ya thamani. At the end of time anaenda kudai talaka mgawane ukumbuke yeye Kila Hela ulivyokuwa unampa anakimbia kwenda kusuka na mashono na mashono mapyaa..... Wewe mwanaume kama Mimi hapa mwaka mzima boxer Moja ama mbili na huwazi kitu halafu sababu atakayoitasema ndo kama ulivyo sema ukiwa huna kazi utasemwa sana tu.
Mke mwema ni nani awezaye kumpata?.Imagine mke wako anaomba talaka kwa sababu upo bize na kazi..
Kisha anaenda mahakamani kudai mgawanyo wa mali, nusu kwa nusu.
Mali ulizozipata kutokana na kazi.
Mwanaume ana sacrifice muda, na jasho lake kwa ajili ya familia yake..
Ili mwisho aambulie maumizu kama zawadi..
Hii ni zaidi ya UBINAFSI na UKATILII.
Chagua kuoa mwanamke mwenye huruma na hustle zako..
Chagua mwanamke wa kuipa thamani familia yako
Ukiwa hauna kitu hawakutaki, ukiwa bize kukitafuta unaachwa..
inasikitisha sana, inafedhehesha sana,Imagine mke wako anaomba talaka kwa sababu upo bize na kazi..
Kisha anaenda mahakamani kudai mgawanyo wa mali, nusu kwa nusu.
Mali ulizozipata kutokana na kazi.
Mwanaume ana sacrifice muda, na jasho lake kwa ajili ya familia yake..
Ili mwisho aambulie maumizu kama zawadi..
Hii ni zaidi ya UBINAFSI na UKATILII.
Chagua kuoa mwanamke mwenye huruma na hustle zako..
Chagua mwanamke wa kuipa thamani familia yako
Ukiwa hauna kitu hawakutaki, ukiwa bize kukitafuta unaachwa..
Complain kuwa upo Busy huwa ni sababu ya Kukuacha na ili mgawane mali.No man is busy for the woman she loves