Mwanamke ni muaminifu kwa hisia zake tu na sio juhudi zako..

Mkuu mwanamke anakua na huruma na wewe ndoto zake zikiwa Bado hazijatimia!!

Zikishatimia na akaona anaweza endelea peke yake bila wewe hapo mlipofikia atalianzisha tu mkuu!!

Mimi nimeogopa hata kuoa rasmi Kwa kusaini vyeti vyao hivi vya kisheria! Coz cheti Cha ndoa Kwa mwanamme ni hati ya kifo kwake kwa msongo wa mawazo plus pressure,sukari !!

Wanaishi na sisi kama punda wa kubeba hatma za maisha yao,tukisha timiza tu!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ