ukipata pesa atahitaji kujua kuwa umezitoa wapi, ukijaribu kumweleza wapi umezitoa atauliza ilikuwaje... ukijieleza sana atahitaji kujua mbona hukupata nyingi zaidi ya hizi 😂
Haya upande wa pili ukikosa sasa hapo ndio patamu ataanza kwanini umekosa, ukijieleza sanaaa anakutolea mfano mbona fulani kapata yaani ni maswali juu ya maswali je mmefanyiwe nini ili kusiwe na maswali?
Pokea tuu usitake kujua ilikuwaje, ikaendaje wala litatokea nini hakuna anayetaka kukosa bali ni milima na mabonde ndio yanasababisha
Anyway nisiwe muongeaji sana kama motivational speaker😂😂 naomba niwe mkweli mimi kinachonisumbua ni njaa na sina hela kubwa🙁 sitaki vya bure haya nina buku hapa nipeni chimbo niweka kamkeka nitusue maisha mimi😀