JEJUTz
Member
- Aug 22, 2024
- 75
- 197
Hii itakusadia pindi ukiwa nyumbani pekee yako ama mahala popote pasipo na msaada pamoja na kuokoa gharama.
Siongelei ule ufundi professional hapana.Ni ufundi ambao ni basic kwa ajili ya kuokoa jahazi ili mambo yaende (quick fix).
Ni kama kubadili koki ya maji iliyoharibika au umeamka asubuhi umekuta tairi ya gari haina upepo na spare tairi ipo all these you can do it for your own.
Nyingine ni kama kubadili bulb iliyoungua hili nalo halihitaji fundi achukue pesa yako .Sijui kitanda kimelegea even this you can do it for your own ispect and tight it!
Si hayo tu yapo mengi ambayo mwanamke anaweza fanya pasipo kuhitaji msaada wa fundi.