Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Chief kwamba kwenye hiyo nyumba hata ngazi inakosekana! Sawa umeeleweka. Lakini nijuavyo kwenye nyumba iliyokamilika vipo vitu ni lazima visikosekane kama vile ngazi, spade, nyundo, msumeno.Sasa mkuu unaposema kubadili bulb hujui watu wana bulb tofauti? Ya kawaida iko chini? Inahitajika ngazi nzuri na ndio vitendea kazi vyenyewe. Hizo kazi nyingi ni rahisi tu kama una vitendea kazi. Kama huna hata kubadili bulb sio kazi rahisi tena.