JEJUTz
Member
- Aug 22, 2024
- 75
- 197
- Thread starter
- #41
Ni kweli kabisa Mimi baadhi ya vitu Huwa nafanyaUmeongelea kitu cha ukweli, wanawake ni muda sasa wa kuamka na kufanya aliyosema mtoa mada, vitu kama hivi vidogo vidogo hata ninyi mnaweza kuvifanya kwa kiasi fulani na wanaume au wenye proffession zao kuvimalizia kwa uhakika. Mfano sio tu kubadili taa lakini mnaweza hata kufanya marekebisho madogo madogo ndani ya nyumba zenu.