Mwanamke ni vizuri pia kujifunza ku-fix baadhi ya vitu hapo nyumbani

Ni kweli kabisa Mimi baadhi ya vitu Huwa nafanya
 
Hizo kazi watazifanyaje sasa na yale makucha yao marefu v

Sasa mkuu unaposema kubadili bulb hujui watu wana bulb tofauti? Ya kawaida iko chini? Inahitajika ngazi nzuri na ndio vitendea kazi vyenyewe. Hizo kazi nyingi ni rahisi tu kama una vitendea kazi. Kama huna hata kubadili bulb sio kazi rahisi tena.
Sio kazi me mbona Huwa nafanya
 
Mbona nyie wanaume vingi vinawashinda?
Vitu vingi nafanyaga mwenyewe?juzi nilishangaa kimama hakiwezi hata kuvunja kufuli
Mimi binafsi dear naweza sijajua Kwa wanaume sijawahi ona kabisa kuwa hawezi baadhi ya kitu
 
Wazee wa haki sawa sometimes michosho sana. Wengine hadi kuingiza tokens za Luku nalo tatizo.
 
Waweze wapi

Kuna siku nlikuwa napita mitaa fulani nkawakuta dada na jamaa wamepata tyre puncher,wote wanamsikilizia mtu aje awasaidie
Kubadili tyre ๐Ÿ˜„
Jamaa amekaa kilonyalonya fulani na huyo dada kakaa kama wale madem wa bongo movie

Ova
Duuuh hatari tunatakiwa tujifunze badaahi ya vitu
 
Kuna zile ambazo hazihitaji vifaa, mfano kubadilisha bulb inahitaji vifaa gani! Tunazosemea ni zile zisizohitaji kufunga au kufungua. Zinazohitaji tools ni lazima ziwepo kama kubadili tyre tools ni lazima ziwepo kwenye gari.
Unawez nunua
 
njoo kipenzi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

sema nimekumiss
Hata mimi nimekumiss sana, majukumu tu kipenzi changu. Ila you'll soon enjoy my presence baby๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
usiwasikilize hao we bulb ikiungua niite mi nipo hivi sio vitu vyakunyimana mwishowe tukose naniliu...๐Ÿ˜‚
Hapo kwenye naniliu ndio umeharibu,ulianza vizuri๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
we jamaa unashusha verse live live!
Haha huyo ni kipenzi changu, nawe hujakatazwa kuwa na yeyote myakayevutiana mzee baba๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
You're free to express yourself in any way mkuu
 
Mi huwa napaka na rangi nyumba nzima, radio tv narekebisha hapa nataka nijifunze kuchanganya zege nizibe matundu vibandani kwa kuku
 
Nishawahi kuchapiwa demu wangu kwasabb tu alikuwa hajui kufunga kitanda. Siku amehamisha vitu vyake toka nyumba moja kwenda nyingine ya kupanga bodaboda wake akaitumia fursa ya kufunga kitanda kumfunga (kumchapa) na demu wangu.
 
Picha inaanza kupika tu hajui ye muulize kuhusu Tiktok
 
Wengi hata kuosha vizuri papuchi zao au mattyako yao ni shida sembuse kufanya vitu vyenye elements za ufundi.

Wanawake wengi wa miaka hii ni mizigo pro max.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ