Imalamawazo
JF-Expert Member
- Jul 27, 2021
- 1,343
- 3,269
Huenda wametoa picha zike Facebook au zile anazowatumia rafiki zake wapost status. Tuma hiyo linkMkuu hata kama si yeye, picha zake akiwa exposed kwenye Hali hiyo zimepatikanaje.. yaani bana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda wametoa picha zike Facebook au zile anazowatumia rafiki zake wapost status. Tuma hiyo linkMkuu hata kama si yeye, picha zake akiwa exposed kwenye Hali hiyo zimepatikanaje.. yaani bana
Unaona sasaPumbavu😂
Hatari sana mkuuPole sana japo hapo mwenye maamuzi ni wewe mwenyewe kwani watu wanaeza kukushauri umuache huku ukikumbuka mliyopitia basi unajikuta sitaki nataka.
Hapana. Inaumiza ila inabidi ucheke tu maana mtu unaomba msaada wa mawazo halafu mwingine anataka apitie hapohapoUnaona sasa
Inawezekana aiseeMademu 90%wanajiuza...... Different techniques.
Mwana kulitafita mwana kulipata, pia Mungu amesema utapewa wa kufanana naye. Kama unanunua malaya, basi utapata muuzaji
Picha za utupu mkuu, za kupambia tangazoHuenda wametoa picha zike Facebook au zile anazowatumia rafiki zake wapost status. Tuma hiyo link
Picha za utupu mkuuHuenda wametoa picha zike Facebook au zile anazowatumia rafiki zake wapost status. Tuma hiyo link
Acha basi😒😒UShawahi kumkagua na ile sabufa a.k.a spika?
Maana yaeza kua we unapewa fronti door af masela wa telegram wanapita uani tena wengi kama wazamiaji wa chakula ya harusi uswazi
Ushajua dem wako n malaya kwann usivunge babu?unatuchosha tuuWakuu habari za Jumapili? Kwangu si njema hata kidogo ila nina Imani Kila mmoja ni buheri wa afya.. Nisiwachoshe sana ngoja niende moja kwa moja kwenye mada husika kuhusu yaliyonikuta japo imekuwa ghafla sana kinyume na mategemeo yangu
Ni hivi,, mwaka 2019 baada ya kuona mahusiano niliyokuwa nayo na mwanamke niliyewahi kumpenda kupindukia katika maisha yangu na kudumu nae kwa takribani miaka mitano yakielekea ukingoni, niliamua kutengeneza branch kwa kuingia kwenye mahusiano na Binti mmoja mzuri sana Ili kutokubaki empty kipindi relationship na Binti wa kwanza iki-terminate. Binti wa kwanza nilidhamiria kuwa nae ila baada ya kwenda kusoma kuna mambo yalibadilika sana kwake hivyo ikapelekea kupoteza Imani nae kabisa. Ilikuwa ni bidhaa sealed kipindi naichukua ila ndio hivyo tena..
Baada ya kuachana rasmi ilibidi niwekeze nguvu nyingi kwa huyu mwingine ambae hapo awali nilikuwa nae kama basi tu.. Baada ya muda nilijikuta nampenda kupindukia, ni mweupe sana, kimo Cha wastani, umbile zuri na sura yenye mvuto sana. Kwa namna nilivyomfahamu, kwao maisha ni mazuri tu. Kuna kipindi ilikuwa kweli nakwama kiuchumi ila alinikwamua. Tumeishi vyema na nimebahatika kukutana nae mara kadhaa na nimemfurahia. Kiufupi nimetokea kuzama kwake mazima, sijaacha hata kandambili ili mambo yakiharibika waokoaji wajue kuna mtu kazama hapo waniokoe kupitia uwepo wa hizo kandambili.
Tulipofikia ni kuwa mwakani tufunge ndoa tu awe mke kwangu na ndivyo suala lilivyo na baadhi ya watu wangu na wake wa karibu wanalitambua hilo.
Sasa bwana, sijui imekuaje tu. Leo nikiwa katika kuperuzi peruzi kuna link ya group la Telegram niliiona sehemu nikaona isiwe case, nikajoin. Kwenye magroup mara nyingi huwa natumia namba ambayo watu wangu wa karibu hawana Ili tusije tukakutana huko bahati mbaya kikaumana.
Group lenyewe ni la mademu kujiuza, angalau niopoe pisi ya kuibutua Jumapili ya Leo mazingira ya karibu kama ningeipata. Cha ajabu nimekutana na picha za mwanamke wangu ambae nategemea kufunga nae ndoa mwakani akiwa ameambatanisha na caption ya location alipo zimepostiwa Leo asubuhi.. imetaja yupo Dar ambapo ndio alipo kwa sasa maana jumatano aliniaga anafuata mzigo wa biashara anayofanya. Picha zenyewe zipo kwenye mazingira ya kimalaya sana. Mbaya zaidi sio moja, ingekuwa moja angalau ningeilazimisha akili ikatae kuwa si yeye, lakini zipo kama sita na mikao tofauti tofauti inayodhihirisha moja kwa moja ni yeye.
Jumapili yangu imevurugika ghafla sana, sijampigia simu sababu akili haipo sawa. Hata nikimpigia ntaanzaje kumwambia? Hata nikimwambia, na Mimi nilikuwa natafuta nini huko? Aisee, yaani hata safari zake zote ninazifikiria ni kama alikuwa anaenda kuuza NYONDI tu kwa vijeba. Kila nikifikiria mazingira yote naona kabisa hapa nimepigwa na square pipe kichwani.. Ina maana Ule ufundi wote alionao ni kwa ajili ya wateja wake? Mbona sikujua muda wote Ule? Je tayari yupo kwa mteja? Vipi zile pesa aliniokoa kipindi nipo vibaya kiuchumi?
Nishaurini tafadhali.. Natanguliza shukrani [emoji120][emoji120]
Hapana bossNipasie namba yake kakaa!! kama hutojali!!