Mwanamke niliyetegemea kumuoa nimekuta picha zake group la Telegram

Kama kweli ni yeye kwenye picha na ni yeye aliyepost au tuseme kweli anajiuza basi wote wewe na yeye mko sawa, yeye ni muuzaji na wewe ni mnunuzi... You deserve each other
A match made in cyberspace 🤣🤣🤣🤣
 
Hongera kwa kupata girlfriend anayejua style ngingi za kuchakatana...

Usimuache😇🤣🤣
 

Hivi unajua wanunuzi huwa wanapitia na mlango wa nyuma tu now days?
 
Tunaoa kwa kuangalia uzuri wa nje!

Hapo ndo tatizo linapoanzia.

Majority ya wanawake wazuri hawajatulia
Sio hawajatulia. Tuseme tuu ukweli wanawake wazuri wanatongozwa sana, tena sana tuu. Hamna mwanaume asiependa kukojolea pazuri.
Mwanamke sura pesono akitongozwa njaanuary ni mpaka september sasa atachepukaje?
 
Hata Yesu alipeleka NENO kwa makahaba
 
KIJANA!

Acha kujidanganya Kuna watu tumeoa na tuhachapiwa ndani ya ndoa kawaida tu , na tunajua lakini tupo tunaendelea kuishi fresh tu na kulea watoto ,
Itakuwa wewe ambae hata nusu kilo ya sukari hujapeleka kwa mama yake ,

Tuliza kichwa hicho as long as Kama ni mtu wa kukuelewa , mtemgeneze venye unataka wewe ,

Muache uone , utaenda kupata anaekazwa marinda wazi wazi

[emoji3577]FAMASIALA

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 

Ameruka mkojo kakanyaga mavi
 
Ndoa upuuzi sana aisee, juzi usiku jamaa kamfuma mkewe akiliwa uroda na mwalim wa primary kwenye shamba la kahawa
 
Mwekee mtego. Mpange jamaa yako ambaye mpz hamjui akamnunue. Jamaa aweke mazingira ya wewe kuwafumania ndani guest/lodge.
Kuna mtu wangu wa karibu alinambia unauza ila nikamkatalia,so ikabidi aniunge ili nishuhudie mwenyewe kwa macho yangu,ndo nimekuja kuhakikisha kumbe unauza
 
Nawe ulifuata nini huko? Ndege wafananao...

Huyo sasa ndio mkeo, huoni ulipo yupo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…